Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Mi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Yaa hapakuwepo na haja ya kuoa dogo dogo
 
Huyo manzi believe me watamuua very soon hana muda mrefu wa kutoboa huyo akijifanya kung'ang'ania mali
Kama haya yanayosemwa yana ukweli na Mengi kaacha will inayompa Jackie percentage kubwa kuliko watoto wakubwa basi lawyers wajiandae kuvuna mpunga mrefu maana naona kuna kesi kubwa inakuja muda si mrefu ujao.
 
Enzi za urafiki wao Rita na jack
original_bakedimpoz-1557271513712.jpeg
 
Wabongo baadala ya kutafuta pesa,mnachunguza maisha ya watu,kwanza hilo li picha,limetengenezwa tu,wala sio Jack huyo,na kama ni yeye hiyo picha imepigwa baada ya Mengi kufa,?kwanini hiyo picha haikutoka kabla,mwezi uliopita,mwaka Jana?!!!
Mkuu kwani muda huu wewe unatafuta pesa?
Na vp unatafuta nini huku?
 
Nadhani hata mzee mwenyewe alikua anajua jack amefata mpunga!
 
Atabaki na fenicha tu ule mjumba ndio bye bye tena msiba ukiisha akatafute pa kulala

Nyumba atabaki nayo wale watoto wakubwa wa marehemu I don’t think kama wataitaka ile nyumba kwanza imewekwa Alama ya X ni moja kati ya nyumba zinazotakiwa kuvunjwa ipo kwenye mkondo wa mto
 
Hivi ukigundulika kwamba ulikuwa unacheat katika masuhiano ndio kigezo cha kumpokonya mtu haki yake?
Kwani klyin ana haki gani . Unajua Mali yote kaikuta . Mali yote alitafuta Mzee Mengi na Mkewe mkubwa ambaye ni marehemu na pia hao watoto wake wakubwa wemefanya kazi ya kuikuza hiyo kampuni ya Mzee Mengi . Kylin asubiriage huruma ya wale watoto mapacha. Yeye Kylin Hana chake
 
Kama haya yanayosemwa yana ukweli na Mengi kaacha will inayompa Jackie percentage kubwa kuliko watoto wakubwa basi lawyers wajiandae kuvuna mpunga mrefu maana naona kuna kesi kubwa inakuja muda si mrefu ujao.
Hiyo Kesi itaisha haraka Sana kwasababu Mke mkubwa wa Mengi marehemu ana haki kuliko huyu Kylin aliekuja Mali zikiwa zimechumwa Tayari. Kylin hapewi kitu wale watoto watapewa wakapewa kiasi Kwa huruma ya watoto wakubwa Wa Mengi
 
Na kama aliandika wosia je itakuwaje?,,

Wosia unaweza kutenguliwa mahakamani?,, maana waweza kuta Jack alimshawish mzee aandike wosia hawa wanawake wa mjini janja janja kweli na ukizingatia Mzee alikuwa anamuelewa sana sana.

Mm naona kunaweza zuka kesi kubwa tu hapa .
 
Back
Top Bottom