Mgugu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,165
- 4,403
Nakukumbusha tu kwa zambi ulizotenda leo kwenye majukwaa tofauti humu jf, kesho inabidi uende kanisa la ufufuo na uzima kwa mchungaji utubu ili akufutie zambi zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakukumbusha tu kwa zambi ulizotenda leo kwenye majukwaa tofauti humu jf, kesho inabidi uende kanisa la ufufuo na uzima kwa mchungaji utubu ili akufutie zambi zako.
Kwa kweli wamemtenda Gwajima, mpaka hili likae sawa sadaka itapungua sana. Baba askofu anacheza mayenu kunako 6x6Nakukumbusha tu kwa zambi ulizotenda leo kwenye majukwaa tofauti humu jf, kesho inabidi uende kanisa la ufufuo na uzima kwa mchungaji utubu ili akufutie zambi zako.
Hivi ukigundulika kwamba ulikuwa unacheat katika masuhiano ndio kigezo cha kumpokonya mtu haki yake?
LolNaona mmeanza kuachia moja moja
Ila baba askofu kanikera sana sijui alikula maharage ya wapi yuleKwa kweli wamemtenda Gwajima, mpaka hili likae sawa sadaka itapungua sana. Baba askofu anacheza mayenu kunako 6x6
Watu wa mujini wanakunywa K-Vant, hembu mfundishe askofu, Lusekelo anaujua mchezo.Ila baba askofu kanikera sana sijui alikula maharage ya wapi yule
Yaani zile dakika 2 ndio anaunguruma vile kweli?
Ila inawezekana wanamsingizia tu pale alikua anayatoa mapepo ya yule dada ndio maana alikua ananena kwa lugha.
Kwamba ndoa ilishavunjika iwe kwasababu ya uzinzi ama kifo ama sababu nyengine kama vile mume kupata uhanithi nk, je mke au mume anaweza poteza haki zake ikaja kugundulika kwamba wakati wapo kwenye ndoa mmo wa wana ndoa alikuwa anachepuka?Yes, uzinzi unavunja ndoa[emoji107]
Original east alichanganya kati ya Mido na shemeji yake (hiyo alleged baby ya Jack).Kwakweli hii tecno wereva haijamtendea hakii, [emoji16][emoji16]kwahyo Jacky alikua anamsafirishia papunga yake maana huyu jamaa si alishafurumishwa hapa nchini?
Halafu mtu kweli unafanya dhambi ya kuzini unatumia missionary style?Watu wa mujini wanakunywa K-Vant, hembu mfundishe askofu, Lusekelo anaujua mchezo.
Babu zetu waliishi hivi, humgusi mwanamke mpaka siku ya ndoa, hata uwe uchumba wa miaka kumi. Ikitokea mume amepata ajali, ni rahisi mke kuvumilia .Kwamba ndoa ilishavunjika iwe kwasababu ya uzinzi ama kifo ama sababu nyengine kama vile mume kupata uhanithi nk, je mke au mume anaweza poteza haki zake ikaja kugundulika kwamba wakati wapo kwenye ndoa mmo wa wana ndoa alikuwa anachepuka?
Kumbuka alimbariki kondoo pale alikua anakula kosher.Halafu mtu kweli unafanya dhambi ya kuzini unatumia missionary style?
Si bora angeacha kuliko kuandikiwa zambi kizembe vile, si bora hata angepiga chuma mboga, mbuzi kagoma, popo kanyea mbinu zambi zake zingeenda kwa halali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jinga kabisa weweKumbuka alimbariki kondoo pale alikua anakula kosher.
Kwamba ndoa ilishavunjika iwe kwasababu ya uzinzi ama kifo ama sababu nyengine kama vile mume kupata uhanithi nk, je mke au mume anaweza poteza haki zake ikaja kugundulika kwamba wakati wapo kwenye ndoa mmo wa wana ndoa alikuwa anachepuka?
Bongo patam japo maisha magumu, umbea tu unaweza nenepa... [emoji28] [emoji28]Bongo sihami,wallah. Mambo ni mengi mda ni chache. I hate social medias.
Sicho nilichouliza ila twende hivo hivo je ndoa ikivunjika kwasababu ya uzinzi kuna mtu atakosa haki yake ya kugawana vyote mlivochuma kwenye ndoa sababu tu alichepuka?Narudia tena, uzinzi huvunja ndoa
Mhh kwa hiyo mzee alikua na bahati mbaya ya kugongewa wapenzi wake...Madam alimzawadia kitumbua waziri kijana wa enzi zile. Madam na Klyn walikua ma best, mzee hakwenda mbali.
Hayo ndiyo mambo ya mujini.
Dah aisee nimeona current pic akiwa na Jacky kwenye event na pete ya ndoa nimejisikia vibaya mno,aisee kweli mapenz yana run dunia,Babu alicheza karata yake vibaya kumuoa huyu dada[emoji22]