Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Nawahi seat hapa haya ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni
 
Jamani Jamani wanazengo Leo wambea tutakufa kwa pressure maana sio kwa double breaking news za Leo , yani wakati sakata la gwajima bado likiwa bichi, Jipya laibuka kuhusu mke wa marehemu mengi akiwa kwenye picha ya pamoja na mwanaume aliyetajwa kutoka nae kimapenzi anayejulikana kwa Jina la Hussein mmliki wa element bar na balozi.

Ila wanazengo Leo nimemuangalia jacky kwenye msiba alivyo mkavu na tinted juu sijui alikua anaficha nini usoni, yan ukiangalia kwa makini utasema Madam ritha Ndo alikua mfiwa Na sio jacky, na ndio maaan hata watu walikua hawana time naye kabisa kumpa pole, yan Yale maneno ya mange yanaanza kuniingia kichwani, jacky she is a Jezebel .

Mi nilivyoona mange kataja mpaka Jina la mwanaume mpaka picha ikapostiwa pale pale mbea mie nikawa alerted there is something danger .

Unajua kwa stage aliyofikia mengi hakupaswa Kuwa na stress kabisa , huenda aligundua kitu kutoka kwa jacky, na kama mnavyojua babu yetu alikufa na kuoza kwa jacky, alikua aambiliki, Ila sema Ndo hivyo mapenzi upofu.

Na nimemuona regina alivyonuna wakati kabeba shada ya maua mmh yani jacky ajiandae tu kuvuliwa nguo , na kama tu ikijulikana alikua anacheat, itakula kwake hataambulia hata Mia na wamachame watamfanyia kitu mbaya atajuta maisha yake yote View attachment 1091184View attachment 1091185View attachment 1091186
Izo nywele zake nilimuona nazo kwenye xxl majuzi tu
 
Wale wanaosema mapenzi pesa hebu waje huku. Alisikika msanii mmoja akiimba hivi....

Hukudekeza kama mtoto, furaha kufurahia.
Ghafla hugeuka moto, machozi unaliaaa.
Mwembamba munene, uwe na pesa kama dangote.
Penzi halijali umaskini, unaweza penda mtu yeyote.
Penzi sio somoo, usome kwa kitabu.
Penzi limefanya harmonize amfukuzishe mwarabu.

Mpaka mwisho wa nyimbo.

Ujumbe ni kwamba; mapenzi ni kama yaache yakifuata mkondo huwezi kuyazuia.
 
Back
Top Bottom