Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Sasa kama diamond platinumz na mazoezi yote yale na maviuno yote yale anayokata watu WAMEMLIA tunda lake vizuri sembuse kibabu kizee HAYATI DR. R.A MENGI?? Mbona hakuna jipya hapo kabisa alichofanya Jacky
 
Hili swala limenifanya nifikiri sana mkuu.
Na ni wasiwasi wa kwanza ambao utakuwa umewapata watoto

Ndio ,,kikubwa asilete za kuleta akae asubirie maamuzi ya familia hasa watoto wa mke mkubwa sababu yeye amedandia gari kwa mbele..

Hata kama mzee atakuwa aliandika wosia ,sio rahis utekelezwe maana huenda huyu bidada alimshawishi Mzee amuandike na watapelekana mahakamani ,bidada akileta za kuleta.

Bidada hawez achwa hivo maana ana watoto wadogo sana .Kikubwa asikilize maamuz ya familia ila ujuaji unaweza kumkosesha
 
Shida sio kazikuta
Shida ni kuwa ukiwa mtu mwenye familia akifa mali zinabaki za familia
Sa familia ya mengi ni nani sahv, japo wayoto wa nje wa Meng nao wana haki

Kwahiyo watoto wa Mke Mkubwa ni watoto wa njee ya Ndoa ,??

Familia ya Mengi ni pamoja na hao watoto wake wote na huyu bidada
 
Itapendeza sana huu mjadala wanasheria wakitia michango yao, watu wanasema k Lynn ameachiwa will ambayo atachukua nusu ya estate ya decesead bila ya kufikiria kwamba inawezekana marehemu aliandika will nyingine baada ya hiyo ambayo beneficiaries wake anawajua yeye na mwanasheria take, kwa move kama hii navyojua latest will ndio itakuwa valid on the court of law.

Kingine wengi hawafikirii kwa nini mshua alifunga ndoa kwenye foreign jurisdiction bola ya kujiuliza kama taratibu za divorce ya ndoa yake ya kwanza zilikuwa finalized on the court of law, tusije kushangaa mzee hakuwahi kuvunja ndoa yake ya kwanza kwa iyo ndoa yake na k Lynn kwa mujibu wa sheria za JMTZ ni batili.

Mwanamke ambaye hajaenda shule si rahisi kudhulumu Mali ya MTU ambaye ameitafuta kisomi unless kwenye Mali aamue tu kumpa kirohi safi.

Huu msiba unaanza tu, frontman ni mwanasheria wa familia, hapo ndio ujue mzee akukaa kiboyaboya na affairs zake.

Time will tell.
 


Huenda Mkuu ,, hi tabia ya vidada kuolewa na vibabu na vibabu kuona vidada sio nzuri katika jamii. Ona sasa yanayotokea sasa ,sio rais watoto wakubwa wa Meng kama Regina amuete Kyailn mama mdogo au pia amsalimie shikamoo
 
Mmh babe hapo kwenye kumpenda hapana japo mengine yote yanaweza kuwa sahihi
Babe, mapenzi ya kweli hua na sababu, unaweza mpendea sauti yake, sura yake, tabia yake, mwili wake, Elimu yake, Cheo chake, PESA ZAKE,

Tunaweza kusema Jackie alitoa furaha kwa Mengi na Mengi alitoa Pesa kwa Jackie.

Fair enough.
 
Mzee alikuwa smart sana
 


Hilo linaweza likajitokeza maana sidhani hicho cheti chake cha ndoa kiko valid Tanzania. Huenda hapo ndo mzee alicheza vyema karata yake.

Pia huyu bidada hakuna mali yoyote aliyo chuma na Mzee labda kama kaendeleza na itakuwa kwa sehemu ndogo sana. Kikubwa bodada alikuwa wamatumizi tu.

Na hapa palivo na wakubwa wengi utashangaa mambo yanavokwenda na kumuacha bidada bila hiyo 50% inayo semekana.
 

Kisheria mtoto mdogo anahaki kuliko mkubwa
Wanachukulia utoto mkubwa ashajielewa na anauwezo wa kujitegemea
 
Babe, mapenzi ya kweli hua na sababu, unaweza mpendea sauti yake, sura yake, tabia yake, mwili wake, Elimu yake, Cheo chake, PESA ZAKE,
Tunaweza kusema Jackie alitoa furaha kwa Mengi na Mengi alitoa Pesa kwa Jackie.
Fair enough.

Acha kuwadanganya watanzania wewe auoni hata aibu !!

Jiulize yule Mzee asingekuwa na kitu bidada angemvulia Mzee chupi amtengee na kumzalia?

Think twice Culture gal
 
Tatizo mzee alijichanganya sana kumchukua bidada na kumuweka ndani ,,angetakiwa awe anamuita mahali anamchapa tu na kila mtu anashika hamsini zake.Na pia Mzee alikuwa anajitahid kuendana na life staili ya bidada.

Mzee alifeli sana....

Ni kama ana poor judgement and reasoning aisee kwenye haya mambo....

BInadamu hawezi weza kila kitu!

Kwenye weakness yake hii ndio walikopitia kama kawa
 
Kuna binadamu hawana haya kabisa ,anaweza kwenda mahakaman macho makavu
Mkuu kwani humuoni alivo macho makavu kwa sasa?

Kama aliacha will kama wototo wanayo wao itakuwaje ? .Maana huenda watoto walisha pekua ndani ,atakuwa na nguvu ya kwenda mahakamani??

Hata kama Will inasema 50% ni haki yake na wanawe .Itakuwa si haki hata mbele za Mungu

Je watoto wakubwa na fanilia wakisema wanawatambua watoto ila sio ndoa Jack ataweza kwenda mahakaman ukizingatiaa ndoa ilifingwa njee ya nchi

.
 

We ndo hujui, hyo ni kama wangeachana, ila kafa wakiwa ni wanandoa, inamaanisha familia halali ya mengi
Kikubwa ni wosia ataoacha Mengi ndo utajibu
 
K
Yani wabongo na angezimia mngesema mnafek bora yeye sio mnafki wala kuzimia au kulia sana haimaanishi huna uchungu muache chuki kwa mwanamke mwenzetu
Kwendraa chuki kwani cananilisha?
 
Mim nilivyoona mzee mzima anaanza kumtumia mke wake romantic message kwenye mtandao nilijuw kuna jambo katika mapenzi yao, kwa akili ya kawaida haiingii akilini mtu kuanza kutuma msg ata za Gudnit kwenye mtandao wakati anaishinae ata kama wako mbali ana namba yake.
Inawezekana kuna kitu mzee aliona
 
Mzee alifeli sana....
Ni kama ana poor judgement and reasoning aisee kwenye haya mambo....
BInadamu hawezi weza kila kitu!
Kwenye weakness yake hii ndio walikopitia kama kawa

Alikosea sana ,na pia aliwakosea heshima wanawe wakubwa ,huoni Regina ni mkubwa kushinda Jack !

Nas tuliobaki tujifunze maana hapa huyu bidada akileta za kuleta patatokea ugomvi sana maana pesa ya Mzee n ndefu.

Wadada waache kudandia magari kwa mbele na wazee waache kuwafuata mabint wakiwashawishi na pesa zao.
 


Mkuu huenda/unaweza kuta bidada ndo alikuwa anajiandikia mwenyewe. Wadada wa mujini plus na uzungu zungu ni watu hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…