Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,365
- 2,732
Mkuu
Mzee hawezi sema anawapenda wale watoto wakubwa eti at the same time ana vita na mama aliewazaa hao watoto!
Psychologically this can never happen....hua tunajiaminisha tu
Huwezi sema unanipenda at the same time unasababisha maumivu makubwa kwa mama yangu mzazi,thats nonsensical !
Mzee angebaki long time bachelor,tena angekua huru kupiga more k za kutosha,etc!
Kuna kitu mzee labda alikosa alipokua mdogo,ndio maana anataka attention sana kwa wanawake..and this is weakness!
Wote tuna weaknesses zetu,na hii ili-happen kumpata mzee,na ndio iliyomvuruga na kummaliza..
Sisi sote tuna fate zetu,this happens to be mzee's fate...
No judgement lakini.....ila he would have done it better than this in my opinion!
Na kweli huwezi sema unawapenda watoto wako akati wewe ndo wakwanza kumuumiza mama yao.
Mkuu hata kama hakukuwa ma maelewanao mazuri ila watoto wa mke mkubwa wana haki kubwa kuliko huyu dada yetu aliye dandia gari kwa mbele.