Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Mkuu
Mzee hawezi sema anawapenda wale watoto wakubwa eti at the same time ana vita na mama aliewazaa hao watoto!
Psychologically this can never happen....hua tunajiaminisha tu
Huwezi sema unanipenda at the same time unasababisha maumivu makubwa kwa mama yangu mzazi,thats nonsensical !
Mzee angebaki long time bachelor,tena angekua huru kupiga more k za kutosha,etc!
Kuna kitu mzee labda alikosa alipokua mdogo,ndio maana anataka attention sana kwa wanawake..and this is weakness!
Wote tuna weaknesses zetu,na hii ili-happen kumpata mzee,na ndio iliyomvuruga na kummaliza..
Sisi sote tuna fate zetu,this happens to be mzee's fate...
No judgement lakini.....ila he would have done it better than this in my opinion!

Na kweli huwezi sema unawapenda watoto wako akati wewe ndo wakwanza kumuumiza mama yao.

Mkuu hata kama hakukuwa ma maelewanao mazuri ila watoto wa mke mkubwa wana haki kubwa kuliko huyu dada yetu aliye dandia gari kwa mbele.
 
Angalia mkee wa professor maji marefu . Nae ndoa alifungia Mombasa ndio amepata effect kubwa Sana .

Ndio nilikuwa najiuliza je hiyo ndoa ya Jack na Mzee iko valid katika mahakama za Tanzania?
 
Mke wa kwanza wa Mengi ni marehemu...na walishA malizana na Mengi kitamboooo..
12 months a go mama mengi mercy alimchukua mume wake alivyopata stroke akakaa nae.alivyoenda SA mengi akarudi ADA Estate kwake.I believe mpaka mercy alipokufa mzee mengi alikuwa yeye na jack kwenye Twilight zone.kwenye msiba wa mercy mengi aliishiwa nguvu kabisa na huyu JACK hakualikwa
 
Fafanua vizuri mkuu sijakupata vyema tafadhali
 
Kabisa mkuu
Huyu dada kwakweli...simuelewi kabisa!

Ndo hivo wanasema 50%;ya utajiri wa Mzee ni wake ,na akipewa hiyo fifty percentages atasababisha ndoa za mabinti na wazee ziongezekee sana kwenye jamii yetu hasa wazee wenye mpunga mrefu

Dada yetu huyu ana wakti mgumu sana kwa sasa ,ampaka aje atulie sio leo na shutuma zinazo muandama
 
Baada ya kesi ya mirathi kuisha,Tanzania itapata effect kubwa sana,kama unayoisema!

Relationships za kuoa oa kisenge au kuzaa zaa kisenge nje ya ndoa ya awali watu itabidi wajitathmini upya kabisa.....

Hasa kwa matajiri,maana kuna alot at stake and alot of lives at stake too!
 
Kuna wanawake wengine ni mashetani tu wanavamia familia za watu na kuondoa aman iliyokuwepo na kuleta migogoro.

Mwanamke kama huyu ukiwa nae anaweza sababisha usiwe na maelewano mazuri na watoto wako wakubwa kama una mke mwingine

Kabisa mkuu..

Dunia hii kila mtu ni hustler,ukizubaa unaliwa....

Dada alikua anacheza karata zake,ila nadhani watazidhibiti kama zina walakini.....

I trully don't trust KLynn at all!

She seems shady and sinister as fvck!
 
Sure broh, mimi hili nililiona kitambo..... kuna mijitu nilikuwa nikiiambia inakuwa migumu kuamini, kama jamaa itakuwa kaacha will ambayo inaonesha K lyn anapesa ndefu ni lazima kutakuwa na uwalakini hapo.

Pia mkuu embu jaribu kupitia Instagram ya Jack,... yaani kati ya picha 100 alizopost picha 2 kama sio 3 ndio zinaonyesha yuko na mzee zingine zote hakuna kitu..... yuko kislay queen

Pia tazama hata hizi za mwishoni mwishoni alizopiga na mzee hazipo hata moja

Inatia ukakasi kwa kweli

Na wewe pitia instagram au twiter ya Mengi ka utaona anampost kila mda
 
Mkuu
Baada ya kesi ya mirathi kuisha,Tanzania itapata effect kubwa sana,kama unayoisema!
Relationships za kuoa oa kisenge au kuzaa zaa kisenge nje ya ndoa ya awali watu itabidi wajitathmini upya kabisa.....
Hasa kwa matajiri,maana kuna alot at stake and alot of lives at stake too!

Ndio huenda ,,Na nzee wetu kama Kapuya ajitathimini .

Kikubwa tuwaheshimu wake zetu tulio waowa mwanzo kama ikitokea tatizo na kuachana kama umri umeenda ni bora tu kuwa senior bachelor tu kuliko kuhangaika na vitoto ambavo hata kuviridhisha kitandani ni huwez

Matajiri wengi wataamka sana kwenye hili .

Vibint vingi saiv vinatembea na wazee alafu ana back up yake ya kijana maana mzee hawez kazi ,,,,akishachuma vya kutosha vya kutosha ana mbwaga Mzee
 
Classic analysis!

You are 100% correct!

Kuna hasara kubwa hutokea kutokana na huu usenge tunaofanya wanaume...real talk!
 
Kabisa mkuu..
Dunia hii kila mtu ni hustler,ukizubaa unaliwa....
Dada alikua anacheza karata zake,ila nadhani watazidhibiti kama zina walakini.....
I trully don't trust KLynn at all!
She seems shady and sinister as fvck!

Even I ,I don't trust her at all.

Ni mwanamke aliye kimkakati zaid ,amekubal kiolewa nazee kimkakati na pia amezaa kimkakati

Hivi kwani hanaga watoto wengine huyu Bidada tofauti na hawa wa Mengi
 
Classic analysis!
You are 100% correct!
Kuna hasara kubwa hutokea kutokana na huu usenge tunaofanya wanaume...real talk!

Wanaume tuamke tufanye mambo kwa akili na tuishi na hawa viumbe kwa akili kama tulivo ambiwa kwenye maandiko (Bible)

Sisi tunatamani miili yao ma wao wanatupa miili yao kimalengo.

Jiulize huyu bidada Mzee wetu angekuwa hana kitu angekubali kuwa mke wake na kumzalia watoto ?
 
Back
Top Bottom