A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,135
- 1,574
Kanumba --- source ya kifo chake ni lulu
Ndikumana -- Irene uwoya
Mengi -- Jacklyn ntuyabaliwe
Ivan --- zarina Hassan
Kuna Haja sasa kwetu sisi wanaume kukaa na kujitathmini vyema ..hivi viumbe kwa namna nyingine sio watu wazuri
Alivutiwa na mpunga wa Mzee.
Kwa hiyo alilazimisha ndoa sio?
Alivutiwa na ndoa
Yaani madam Rita msiba umemkolea na kulia kwa kutaabika KULIKO the so termed mke wa marehemu I e Jack? Hatari kabisa hii.Enzi za urafiki wao Rita na jackView attachment 1091355
yule mzee na mazuri yote aliyofanya sema kuja kuoa kile kibinti ndio alipo haribuKwanini Mzee asingekuoa wewe mchaga mwenzie ili mali zisihame?
yule mzee na mazuri yote aliyofanya sema kuja kuoa kile kibinti ndio alipo haribu
Kaumia kuliko mke halisi. Ni hatari kubwa. Maana Jack yuko kawaida mno. Nilitegemea kwa zile picha na mavideo ya kutudanganya basi muda huu angekuwa ICU kwa mshtuko au angekuwa anabebwa. Nimefurahi pia sijaona hata ndugu wa maana wa Mengi akimshikilia.Kwanini Madam ameumia namna hii...
Why!!??
fact!!!Hata kama aliandika,prosecution wanawezatoa uhakiki mahakamani kua mzee aliandika akiwa mgonjwa..
Wakichukua medical records nk wanaweza prove hiyo kitu kirahisi sana....
Nasikia mzee alikua na dementia...na kumbuka wale wana madaktari wa familia medical records zote zipo....
Kama alikua diagnosed na dementia halafu ndio will ikaandikwa from the date of diagnosis onwards,mzee mzigo mzima unakua void!
Will ikiwa void,mzigo mzima unaletwa mezaniiii upyaa!
Plus na hiyo ndoa iliyofanyiwa huko sijui Cape Verde or wherever the fvck,jurisdiction haita-apply hapa uswazi!
Ngoma ni ndefu,washabiki wa KLyn wasidhani ni slum dunk tu!
Plus KLyn sidhani kama ana miakili very smart kivile namna hiyo labda kuna mahali alisahau kuset vizuri.....
Kuna mahali patakua na loophole alisahau prosecution watapita hapo hapo kama radi vile!
Kuna mzee nasali nae jumuia,mke wake alikufa wanae wote wanafamilia zao yupo peke yake.
Kwanza mzee yupo mwenyewe hataki mfanyakazi na hana mpango wa kuoa,pale mtaani ana nyumba tatu moja anakaa mwenyewe mbili kapangisha.
Basi yeye kazi yake ni kuvigonga visichana mtaani yaani hana mpango wa kuoa.Nakumbuka kuna kipindi turubai la jumuia lilikuwa lina lala kwake,tukaenda asubuhi,tukaambiwa na wapangaji wake hayupo,tukasubiri mpaka saa nne tukaenda tukagonga mlango wake akatoka na taulo katufungulia mlango ,hutajakaa sawa tunakiona kibinti na kitenge,tukajua mzee alikuwa na mechi.
Yaani kwa kifupi mzee anaishi maisha ya kisela yy akiwa na hamu anavuta kibinti anakifyatua,baadaye kila mtu anashika hamsini zake.
Kwanini Mzee asingekuoa wewe mchaga mwenzie ili mali zisihame?
Pigia mstari,anakaribia miaka 70.Ni mwanaJumuiya?
Pigia mstari,anakaribia miaka 70.
Kakanywa sana lakini hakanyiki,mzee msela kuna kipindi mida ya saa tano usiku kuna kibaamedi alikuwa anakiminya minya maziwa na Makalio.Mwanajumuiya ana zini hovyo mpaka wanajumuiya mnajua kwanini msimkanye? nini maana ya Jumuiya?
Wamachame kwenye mali zao hawachezewi kabisa. Mdogo wa marehemu yule Benjamin na watoto wakubwa wa marehemu wako imara sana.hahahaha mkuu binti ameingia kwenye Maisha ya Mengi less than five years ago....I can guarantee you, wale wa MACHAME they saw all of it coming! Siyo wajinga kihivyo mkuu…..Mark my words!
Kakanywa sana lakini hakanyiki,mzee msela kuna kipindi mida ya saa tano usiku kuna kibaamedi alikuwa anakiminya minya maziwa na Makalio.
Swali ni hilo moja tu ataulizwa ni kwa nini alikuwa anamchosha magonjwa? Wakati akijua kabisa magonjwa alikuwa hana uwezo mkubwa sana wa kimaamuzi na kumbukumbu. Alishadhoofika mno kiasi kwamba hata kutembea ilikuwa ni shida. Yet unampandisha ndege safari ndefu to Dubai bila hata family Dr kuambatana na mgonjwa. Aibu kubwa sana.Sidhani kama kuna watoto wa Meng wanamzid Mengi mwenyewe umri ila, wapo watoto wa Mengi wanamzidi Jack umri pakubwa tu ,hao ndo watashikana nae vilivo
Huyu bidada hapa kwa wamacahme hatachomoka salama kabisa .Ataambiwa alete mpka ATM card ya mzee. Tusubiri mda ni hakimu mzuri sana.
Akiulizwa kwanini alitaka Mzee aende dubai na familia kutoka Zanzibar kisa watoto hawajaridhika huku anaona hali ya Mzee sio nzuri atajibu nini?