Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Samsoni ni Delila
Adam ni Eva
Kanumba --- source ya kifo chake ni lulu

Ndikumana -- Irene uwoya

Mengi -- Jacklyn ntuyabaliwe

Ivan --- zarina Hassan

Kuna Haja sasa kwetu sisi wanaume kukaa na kujitathmini vyema ..hivi viumbe kwa namna nyingine sio watu wazuri
 
Kuna mzee nasali nae jumuia,mke wake alikufa wanae wote wanafamilia zao yupo peke yake.

Kwanza mzee yupo mwenyewe hataki mfanyakazi na hana mpango wa kuoa,pale mtaani ana nyumba tatu moja anakaa mwenyewe mbili kapangisha.

Basi yeye kazi yake ni kuvigonga visichana mtaani yaani hana mpango wa kuoa.Nakumbuka kuna kipindi turubai la jumuia lilikuwa lina lala kwake,tukaenda asubuhi,tukaambiwa na wapangaji wake hayupo,tukasubiri mpaka saa nne tukaenda tukagonga mlango wake akatoka na taulo katufungulia mlango ,hutajakaa sawa tunakiona kibinti na kitenge,tukajua mzee alikuwa na mechi.

Yaani kwa kifupi mzee anaishi maisha ya kisela yy akiwa na hamu anavuta kibinti anakifyatua,baadaye kila mtu anashika hamsini zake.
 
Hata kama aliandika,prosecution wanawezatoa uhakiki mahakamani kua mzee aliandika akiwa mgonjwa..

Wakichukua medical records nk wanaweza prove hiyo kitu kirahisi sana....

Nasikia mzee alikua na dementia...na kumbuka wale wana madaktari wa familia medical records zote zipo....

Kama alikua diagnosed na dementia halafu ndio will ikaandikwa from the date of diagnosis onwards,mzee mzigo mzima unakua void!

Will ikiwa void,mzigo mzima unaletwa mezaniiii upyaa!

Plus na hiyo ndoa iliyofanyiwa huko sijui Cape Verde or wherever the fvck,jurisdiction haita-apply hapa uswazi!

Ngoma ni ndefu,washabiki wa KLyn wasidhani ni slum dunk tu!

Plus KLyn sidhani kama ana miakili very smart kivile namna hiyo labda kuna mahali alisahau kuset vizuri.....

Kuna mahali patakua na loophole alisahau prosecution watapita hapo hapo kama radi vile!
fact!!!
 
Kuna mzee nasali nae jumuia,mke wake alikufa wanae wote wanafamilia zao yupo peke yake.

Kwanza mzee yupo mwenyewe hataki mfanyakazi na hana mpango wa kuoa,pale mtaani ana nyumba tatu moja anakaa mwenyewe mbili kapangisha.

Basi yeye kazi yake ni kuvigonga visichana mtaani yaani hana mpango wa kuoa.Nakumbuka kuna kipindi turubai la jumuia lilikuwa lina lala kwake,tukaenda asubuhi,tukaambiwa na wapangaji wake hayupo,tukasubiri mpaka saa nne tukaenda tukagonga mlango wake akatoka na taulo katufungulia mlango ,hutajakaa sawa tunakiona kibinti na kitenge,tukajua mzee alikuwa na mechi.

Yaani kwa kifupi mzee anaishi maisha ya kisela yy akiwa na hamu anavuta kibinti anakifyatua,baadaye kila mtu anashika hamsini zake.

Ni mwanaJumuiya?
 
hivi sheria ya nchi yetu inatambua ndoa iliyofungwa nje ya nchi??
 
hahahaha mkuu binti ameingia kwenye Maisha ya Mengi less than five years ago....I can guarantee you, wale wa MACHAME they saw all of it coming! Siyo wajinga kihivyo mkuu…..Mark my words!
Wamachame kwenye mali zao hawachezewi kabisa. Mdogo wa marehemu yule Benjamin na watoto wakubwa wa marehemu wako imara sana.
 
Sidhani kama kuna watoto wa Meng wanamzid Mengi mwenyewe umri ila, wapo watoto wa Mengi wanamzidi Jack umri pakubwa tu ,hao ndo watashikana nae vilivo
Huyu bidada hapa kwa wamacahme hatachomoka salama kabisa .Ataambiwa alete mpka ATM card ya mzee. Tusubiri mda ni hakimu mzuri sana.
Akiulizwa kwanini alitaka Mzee aende dubai na familia kutoka Zanzibar kisa watoto hawajaridhika huku anaona hali ya Mzee sio nzuri atajibu nini?
Swali ni hilo moja tu ataulizwa ni kwa nini alikuwa anamchosha magonjwa? Wakati akijua kabisa magonjwa alikuwa hana uwezo mkubwa sana wa kimaamuzi na kumbukumbu. Alishadhoofika mno kiasi kwamba hata kutembea ilikuwa ni shida. Yet unampandisha ndege safari ndefu to Dubai bila hata family Dr kuambatana na mgonjwa. Aibu kubwa sana.

Wamachame walivyolia leo wakipokea msiba ni lazima walipize kisasi. Wachaga wa pande za Machame si wa kuchezea kabisa. Kwao Mengi alikuwa ni icon.
 
Back
Top Bottom