Klyn aliegesha mimba kabla ya ndoaIla Jacky alitakiwa ata ajitie vitunguu machoni wakati huu wa msiba, ili aonekane kama anamajonzi KUJIKOSHA MBELE YA UMMA. Sio kwa ukomavu ule. Hata wakati wa kuaga, anajaribu kuact lakini sura imekataa. Na ukiangalia, body language kati yake na familia ya Mengi, hakuna mawasiliano kabisa. Uzee nao mzigo, mzee alitakiwa akomae kumla lakini asikubali kumzalisha.
Ila kweliMama mama mke wa mtu mtamu akiwa kwa mumewe.
We mwanga unaniitia moderator afanye nini?
We mwanga unaniitia moderator afanye nini?
Unaniita mwanga Moderator
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Unataka mkuyenge wewe sio bure...endelea kuita
Mwarabu Marioooo, alienda nae Dubai bibie amekata first class mwarabu akalipiwa EconomyKwani muarabu si yupo na ana pesa balaa
Klyn aliegesha mimba kabla ya ndoa
Nadhani wale watoto ni wa chupa yaani IVF. Maana kabla ya mimba Klynn na mzee walikuwa na safari nyingi sana za London, Uingereza. Hata mwanzo wa mimba yake. Naimani mzee alishiriki kikamilifu na ndo alilipia hayo matibabu. Nini hasa kilimpelekea kufanya hivyo, hata kama Klynn alimbembeleza. Mzee wa miaka 70 kuzaa ni kutesa tu watoto maana kama umri wetu wa kuishi ni miaka 75, mzee alizaa ili iweje ili hali alikuwa na watoto tayari?
Klynn aliomba watoto kama kitega uchumi. Tutasikia mengi.
Walivyofika Dubai mzee alipata heart attack akawekewa peacemaker ingawa watoto wakubwa hawakupenda lakini nchi za wenzetu mke ana say kubwa.Na kafa na nini?haijajulikana bado?
Maisha ndugu ndio hivyo wazee wazee wazee ila usimdhuru mzee mwambie tu muachane kwa amani.Mi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Niko Machame, by default sikujua kabisa kama msiba utaenda Foo. Maandalizi yalifanyika hapa nyumbani, nadhani kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea. Na hakika ni Benjamin jana alivyowasili kubadilisha baadhi ya mambo na ni jambo jema sana maana Mzee hakuwa na nyumba Machame, alikuwa anafikia pale kwao, hivyo ilikuwa ni lazima afike kwenye boma lake alilojenga na Jack.Naomba ufute kauli yako kwa sababu msiba wa mzee umefikia katika nyumba ambayo aliijenga kwa ajili yake na mke wake jack, lete theory nyingine
This is officially my best comment of the year!Go Jackie Gooo,
wabongo kuongea jadi yao, kaa kimya wakichoka watalala, sote tunajua ulimpenda mzee Mengi, ulimzalia mapacha, ulimpa furaha aliyoitaka na hakusita kuongea mbele ya kadamnasi,
Kama wachaga hulka yao ni kunyanyasa Wajane basi safari hii watagonga mwamba.
Duh mwili unasisimka niliwahi fanyiwa opereshen kidonda kinakuwa na maumivu balaa hasa ukisema mtu alianguka nachanganyikiwa kabisa. Naombea isiwe kweli Mengi mtu mwema hilo jambo baya sana kwake.Walivyofika Dubai mzee alipata heart attack akawekewa peacemaker ingawa watoto wakubwa hawakupenda lakini nchi za wenzetu mke ana say kubwa.
Mzee alianguka akiwa na jeraha la operation bado bichi na damu iliingia kwenye mapafu hivyo ilikuwa ngumu kupona.
Imeshatokea mkuu aliachwa mwenyewe hakua na care.Duh mwili unasisimka niliwahi fanyiwa opereshen kidonda kinakuwa na maumivu balaa hasa ukisema mtu alianguka nachanganyikiwa kabisa. Naombea isiwe kweli Mengi mtu mwema hilo jambo baya sana kwake.
Kwahiyo wale twins wa Klyn Benjamin ni baba mdogoNiko Machame, by default sikujua kabisa kama msiba utaenda Foo. Maandalizi yalifanyika hapa nyumbani, nadhani kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea. Na hakika ni Benjamin jana alivyowasili kubadilisha baadhi ya mambo na ni jambo jema sana maana Mzee hakuwa na nyumba Machame, alikuwa anafikia pale kwao, hivyo ilikuwa ni lazima afike kwenye boma lake alilojenga na Jack.
Ni jambo jema sana hili, kwasababu hata wale walikuwa wanavumisha uongo watafunga mdomo. Jack hana shida yeyote na familia ya Mengi, ni kelele na uongo wa mitandaoni tu.
Nakuhakikishia tu, hakuna aliyejua mwili utalala Foo leo.
Dah!Walivyofika Dubai mzee alipata heart attack akawekewa peacemaker ingawa watoto wakubwa hawakupenda lakini nchi za wenzetu mke ana say kubwa.
Mzee alianguka akiwa na jeraha la operation bado bichi na damu iliingia kwenye mapafu hivyo ilikuwa ngumu kupona.
Mkuu naamini familia ilikiwa inafahamu yote hayo na pengine hawakutaka kufanya public ila lazima walifahamuNiko Machame, by default sikujua kabisa kama msiba utaenda Foo. Maandalizi yalifanyika hapa nyumbani, nadhani kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea. Na hakika ni Benjamin jana alivyowasili kubadilisha baadhi ya mambo na ni jambo jema sana maana Mzee hakuwa na nyumba Machame, alikuwa anafikia pale kwao, hivyo ilikuwa ni lazima afike kwenye boma lake alilojenga na Jack.
Ni jambo jema sana hili, kwasababu hata wale walikuwa wanavumisha uongo watafunga mdomo. Jack hana shida yeyote na familia ya Mengi, ni kelele na uongo wa mitandaoni tu.
Nakuhakikishia tu, hakuna aliyejua mwili utalala Foo leo.
U wantHiyo ndo hata kukata kiuno hajui(gogo)?
Hahahaha sasa Sky na we hili swali au uchokoziKwahiyo wale twins wa Klyn Benjamin ni baba mdogo
Ni busara kubwa sana imetumika mkuu.. Na ndio sababu mwili umekuja leo na kulala.. Wachaga kawaida tukisafirisha mwili haulali..Mkuu naamini familia ilikiwa inafahamu yote hayo na pengine hawakutaka kufanya public ila lazima walifahamu
Kwa wachagga watoto wa kiume ndo wanaendeleza mali na ukoo..mzee alikuwa anamtegemea zaidi Regina kuliko Abdiel nahisi yule mtoto ajachukua ujasiliamari wa baba yake...wale watoto mzee aliwazaa makusudi kabisa na akaoa ili wapate security kama watoto wa ndoaKlyn aliegesha mimba kabla ya ndoa