Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Ila Jacky alitakiwa ata ajitie vitunguu machoni wakati huu wa msiba, ili aonekane kama anamajonzi KUJIKOSHA MBELE YA UMMA. Sio kwa ukomavu ule. Hata wakati wa kuaga, anajaribu kuact lakini sura imekataa. Na ukiangalia, body language kati yake na familia ya Mengi, hakuna mawasiliano kabisa. Uzee nao mzigo, mzee alitakiwa akomae kumla lakini asikubali kumzalisha.
Klyn aliegesha mimba kabla ya ndoa
 
We mwanga unaniitia moderator afanye nini?

Unaniita mwanga Moderator
Unataka mkuyenge wewe sio bure...endelea kuita
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
 
Klyn aliegesha mimba kabla ya ndoa

Nadhani wale watoto ni wa chupa yaani IVF. Maana kabla ya mimba Klynn na mzee walikuwa na safari nyingi sana za London, Uingereza. Hata mwanzo wa mimba yake. Naimani mzee alishiriki kikamilifu na ndo alilipia hayo matibabu. Nini hasa kilimpelekea kufanya hivyo, hata kama Klynn alimbembeleza. Mzee wa miaka 70 kuzaa ni kutesa tu watoto maana kama umri wetu wa kuishi ni miaka 75, mzee alizaa ili iweje ili hali alikuwa na watoto tayari?
Klynn aliomba watoto kama kitega uchumi. Tutasikia mengi.
 
Ndio maana wale watoto wapo kama wana umwa hivi wamelegea legea kwa kifupi hawapo sawa, kumbe ni watoto wa chupa
 
Mi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Maisha ndugu ndio hivyo wazee wazee wazee ila usimdhuru mzee mwambie tu muachane kwa amani.
 
Naomba ufute kauli yako kwa sababu msiba wa mzee umefikia katika nyumba ambayo aliijenga kwa ajili yake na mke wake jack, lete theory nyingine
Niko Machame, by default sikujua kabisa kama msiba utaenda Foo. Maandalizi yalifanyika hapa nyumbani, nadhani kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea. Na hakika ni Benjamin jana alivyowasili kubadilisha baadhi ya mambo na ni jambo jema sana maana Mzee hakuwa na nyumba Machame, alikuwa anafikia pale kwao, hivyo ilikuwa ni lazima afike kwenye boma lake alilojenga na Jack.

Ni jambo jema sana hili, kwasababu hata wale walikuwa wanavumisha uongo watafunga mdomo. Jack hana shida yeyote na familia ya Mengi, ni kelele na uongo wa mitandaoni tu.

Nakuhakikishia tu, hakuna aliyejua mwili utalala Foo leo.
 
Go Jackie Gooo,
wabongo kuongea jadi yao, kaa kimya wakichoka watalala, sote tunajua ulimpenda mzee Mengi, ulimzalia mapacha, ulimpa furaha aliyoitaka na hakusita kuongea mbele ya kadamnasi,

Kama wachaga hulka yao ni kunyanyasa Wajane basi safari hii watagonga mwamba.
This is officially my best comment of the year!

If that old man wakes up today, he'd still be proud of his wife. Sasa kama aliezitafuta mali hakuona tabu kumsifia mkewe hadi kwenye vyombo vya habari, hawa wanaomchukia wanapata wapi jeuri?

Good enough, siku hizi kila kitu ni maandishi. So whether they like it or not, she's gonna have her fair share!

We can hate, we can curse, but end of day she'll be smiling all the way to the bank like a boss!
 
Walivyofika Dubai mzee alipata heart attack akawekewa peacemaker ingawa watoto wakubwa hawakupenda lakini nchi za wenzetu mke ana say kubwa.

Mzee alianguka akiwa na jeraha la operation bado bichi na damu iliingia kwenye mapafu hivyo ilikuwa ngumu kupona.
Duh mwili unasisimka niliwahi fanyiwa opereshen kidonda kinakuwa na maumivu balaa hasa ukisema mtu alianguka nachanganyikiwa kabisa. Naombea isiwe kweli Mengi mtu mwema hilo jambo baya sana kwake.
 
Imeshatokea mkuu aliachwa mwenyewe hakua na care.
 
Niko Machame, by default sikujua kabisa kama msiba utaenda Foo. Maandalizi yalifanyika hapa nyumbani, nadhani kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea. Na hakika ni Benjamin jana alivyowasili kubadilisha baadhi ya mambo na ni jambo jema sana maana Mzee hakuwa na nyumba Machame, alikuwa anafikia pale kwao, hivyo ilikuwa ni lazima afike kwenye boma lake alilojenga na Jack.

Ni jambo jema sana hili, kwasababu hata wale walikuwa wanavumisha uongo watafunga mdomo. Jack hana shida yeyote na familia ya Mengi, ni kelele na uongo wa mitandaoni tu.

Nakuhakikishia tu, hakuna aliyejua mwili utalala Foo leo.
Kwahiyo wale twins wa Klyn Benjamin ni baba mdogo
 
Walivyofika Dubai mzee alipata heart attack akawekewa peacemaker ingawa watoto wakubwa hawakupenda lakini nchi za wenzetu mke ana say kubwa.

Mzee alianguka akiwa na jeraha la operation bado bichi na damu iliingia kwenye mapafu hivyo ilikuwa ngumu kupona.
Dah!
 
Niko Machame, by default sikujua kabisa kama msiba utaenda Foo. Maandalizi yalifanyika hapa nyumbani, nadhani kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea. Na hakika ni Benjamin jana alivyowasili kubadilisha baadhi ya mambo na ni jambo jema sana maana Mzee hakuwa na nyumba Machame, alikuwa anafikia pale kwao, hivyo ilikuwa ni lazima afike kwenye boma lake alilojenga na Jack.

Ni jambo jema sana hili, kwasababu hata wale walikuwa wanavumisha uongo watafunga mdomo. Jack hana shida yeyote na familia ya Mengi, ni kelele na uongo wa mitandaoni tu.

Nakuhakikishia tu, hakuna aliyejua mwili utalala Foo leo.
Mkuu naamini familia ilikiwa inafahamu yote hayo na pengine hawakutaka kufanya public ila lazima walifahamu
 
Ni busara kubwa sana imetumika mkuu.. Na ndio sababu mwili umekuja leo na kulala.. Wachaga kawaida tukisafirisha mwili haulali..

Na hii hakuna aliyejua, ni wale wa ndani kabisa ya familia. The good thing ni Abdiel na Regina ni lazima walale na baba yao hapo nyumbani na hiyo ni maana kubwa sana kwa wachaga.

By default Regina na Abdiel watakuwa na liability kubwa sana kwa twins, na kikao cha ukoo kikikaa nafikiri Abdiel na Regina wataambiwa wakija Machame kwao ni Foo, Nkweseko na sio Nkuu Kisereny
 
Back
Top Bottom