Niko Machame, by default sikujua kabisa kama msiba utaenda Foo. Maandalizi yalifanyika hapa nyumbani, nadhani kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea. Na hakika ni Benjamin jana alivyowasili kubadilisha baadhi ya mambo na ni jambo jema sana maana Mzee hakuwa na nyumba Machame, alikuwa anafikia pale kwao, hivyo ilikuwa ni lazima afike kwenye boma lake alilojenga na Jack.
Ni jambo jema sana hili, kwasababu hata wale walikuwa wanavumisha uongo watafunga mdomo. Jack hana shida yeyote na familia ya Mengi, ni kelele na uongo wa mitandaoni tu.
Nakuhakikishia tu, hakuna aliyejua mwili utalala Foo leo.