Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Yeah pale ndiyo kwao na hata hapo atakapozikwa Mengi pia Jack ana haki na uhalali wakupatembelea
 
Mi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Daaah wazo zuri,unamaanisha hata huyu aliye muoa kama kweli alikuwa anampenda angekuwa anamuita tu anapiga nakusepa,tena ingekuwa Mimi ningekuwa namuita aje kule Machame namkula halafu anasepa na ndege ya asubuhi
 
Hatimaye Jack aangusha kilio wakati jeneza likiingia ndani cjui kashauriwa au anasoma jamii maana ile lia nimejikuta nafuta machozi nikacheka
 
Huwezi kuniaminisha eti Jackie anaweza washinda nguvu wachaga wote wale kwenye ngome yao. hUO UTAKUWA ULIKUWA MPANGO WA FAMILIA TANGU MWANZO ila sio lazima kila kitu kisemwe. Hawakusema msiba utakuwa kule ila kule ndo atakapozikwa.
 
Bongo ndo mana kutoboa ngumu sanah, yani watu wanachuki hatari.

Kweli ngozi nyeusi ni rangi ya laana mikosi na mabalaaa.
 
Mzee alivyo owa,watu wakaanza kuwabeza vijana
Ooh vijana mpo wapi Oohh vijana mmezidiwa na Wallet
Oohh vijana hamjatulia kimapenzi hadi vimwali vinawaacha
Sasa katokea kijana wa kihindi kapitia mzigo,leo mnaanza lawama.
Kweli nimeamini kale kausemi inayosema
“Ukiwa Mwongo,Usiwe Msahaulifu[emoji1321]‍♂️”
 
Ndio maana wale watoto wapo kama wana umwa hivi wamelegea legea kwa kifupi hawapo sawa, kumbe ni watoto wa chupa

Usiseme hivyo naona kama siyo vizuri!

IVF ni utaalam ambao Mungu amewapa Wanadamu, lakini Mungu ndiye anaeumba na kuruhusu mwanadamu kuzaliwa na kuishi hapa duniani.
Ni kama jinsi Mungu alivyowapa madaktari utaalam wa kuzalisha kina mama kwa njia ya operation pale ambapo njia ya kawaida inakuwa ngumu, sasa napo mtasema watoto wa kuzaliwa kwa operation ni legelege?

Tubadilishe mitazamo hasi kuwa chanya!

Watoto wa IVF wanakuwa watoto kamili kama wa kawaida tu.

Tuwapende watoto ni kama malaika wamejikuta wamezaliwa hawana hila yoyote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…