Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah pale ndiyo kwao na hata hapo atakapozikwa Mengi pia Jack ana haki na uhalali wakupatembeleaNi busara kubwa sana imetumika mkuu.. Na ndio sababu mwili umekuja leo na kulala.. Wachaga kawaida tukisafirisha mwili haulali..
Na hii hakuna aliyejua, ni wale wa ndani kabisa ya familia. The good thing ni Abdiel na Regina ni lazima walale na baba yao hapo nyumbani na hiyo ni maana kubwa sana kwa wachaga.
By default Regina na Abdiel watakuwa na liability kubwa sana kwa twins, na kikao cha ukoo kikikaa nafikiri Abdiel na Regina wataambiwa wakija Machame kwao ni Foo, Nkweseko na sio Nkuu Kisereny
Atatembelea tu kaburi la mmewe, pale sio kwa Reginald ni kwa Benjamin..Yeah pale ndiyo kwao na hata hapo atakapozikwa Mengi pia Jack ana haki na uhalali wakupatembelea
Hawa watoto walishapata share ya mama yao, Mengi alibaki na 25% ndiyo ameihonga kwa spring chicken.
Daaah wazo zuri,unamaanisha hata huyu aliye muoa kama kweli alikuwa anampenda angekuwa anamuita tu anapiga nakusepa,tena ingekuwa Mimi ningekuwa namuita aje kule Machame namkula halafu anasepa na ndege ya asubuhiMi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Inaelekea kifo cha Mutie kilimsumbua sana mzeeKwa wachagga watoto wa kiume ndo wanaendeleza mali na ukoo..mzee alikuwa anamtegemea zaidi Regina kuliko Abdiel nahisi yule mtoto ajachukua ujasiliamari wa baba yake...wale watoto mzee aliwazaa makusudi kabisa na akaoa ili wapate security kama watoto wa ndoa
Atakua kashauriwa, maaana si kwa mapozi yale. Sijawahi kuona mjane anamapozi hata jeneza likifunguliwa, sura imekaza tu. Duu.Hatimaye Jack aangusha kilio wakati jeneza likiingia ndani cjui kashauriwa au anasoma jamii maana ile lia nimejikuta nafuta machozi nikacheka
Huwezi kuniaminisha eti Jackie anaweza washinda nguvu wachaga wote wale kwenye ngome yao. hUO UTAKUWA ULIKUWA MPANGO WA FAMILIA TANGU MWANZO ila sio lazima kila kitu kisemwe. Hawakusema msiba utakuwa kule ila kule ndo atakapozikwa.Niko Machame, by default sikujua kabisa kama msiba utaenda Foo. Maandalizi yalifanyika hapa nyumbani, nadhani kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea. Na hakika ni Benjamin jana alivyowasili kubadilisha baadhi ya mambo na ni jambo jema sana maana Mzee hakuwa na nyumba Machame, alikuwa anafikia pale kwao, hivyo ilikuwa ni lazima afike kwenye boma lake alilojenga na Jack.
Ni jambo jema sana hili, kwasababu hata wale walikuwa wanavumisha uongo watafunga mdomo. Jack hana shida yeyote na familia ya Mengi, ni kelele na uongo wa mitandaoni tu.
Nakuhakikishia tu, hakuna aliyejua mwili utalala Foo leo.
This is officially my best comment of the year!
If that old man wakes up today, he'd still be proud of his wife. Sasa kama aliezitafuta mali hakuona tabu kumsifia mkewe hadi kwenye vyombo vya habari, hawa wanaomchukia wanapata wapi jeuri?
Good enough, siku hizi kila kitu ni maandishi. So whether they like it or not, she's gonna have her fair share!
We can hate, we can curse, but end of day she'll be smiling all the way to the bank like a boss!
Mnaongea tuu, wenye uwezo wa kuundeleza ukoo wa mengi ni hawa watoto mapacha, hana mjukuu kwa mtoto wake hata mmoja, nasikia sikia za kunyapia huyu mmoja mchicha mwiba huyu mwingine jiwe msaga jiwe
Mkuu ukimaanisha basha au mke wakeNaanza na wakiume humuoni akiwa na mwenza wake kila walipo?
Mjane anafuta machozi na tissue...watanzania nimewashindwaAtakua kashauriwa, maaana si ka mapozi yae. Sijawahi kuon mjane anamapozi hata jeneza likifunguliwa, sura imekaza tu. Duu.
Wa kiume ana miaka nearly 50 ila hatisikii kama anamtoto....mzee alipaswa kuwa na vijukuu kama 10Naanza na wakiume humuoni akiwa na mwenza wake kila walipo?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁Ndio maana wale watoto wapo kama wana umwa hivi wamelegea legea kwa kifupi hawapo sawa, kumbe ni watoto wa chupa
Ndio maana wale watoto wapo kama wana umwa hivi wamelegea legea kwa kifupi hawapo sawa, kumbe ni watoto wa chupa
Haswa .Heshimu sana Mke wa ujana wako.
Laki ??? ,Leo ndio siku kifurushi kingeuzwa hata laki watu wangenunua