Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Ni busara kubwa sana imetumika mkuu.. Na ndio sababu mwili umekuja leo na kulala.. Wachaga kawaida tukisafirisha mwili haulali..

Na hii hakuna aliyejua, ni wale wa ndani kabisa ya familia. The good thing ni Abdiel na Regina ni lazima walale na baba yao hapo nyumbani na hiyo ni maana kubwa sana kwa wachaga.

By default Regina na Abdiel watakuwa na liability kubwa sana kwa twins, na kikao cha ukoo kikikaa nafikiri Abdiel na Regina wataambiwa wakija Machame kwao ni Foo, Nkweseko na sio Nkuu Kisereny
Yeah pale ndiyo kwao na hata hapo atakapozikwa Mengi pia Jack ana haki na uhalali wakupatembelea
 
Mi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Daaah wazo zuri,unamaanisha hata huyu aliye muoa kama kweli alikuwa anampenda angekuwa anamuita tu anapiga nakusepa,tena ingekuwa Mimi ningekuwa namuita aje kule Machame namkula halafu anasepa na ndege ya asubuhi
 
Hatimaye Jack aangusha kilio wakati jeneza likiingia ndani cjui kashauriwa au anasoma jamii maana ile lia nimejikuta nafuta machozi nikacheka
 
Niko Machame, by default sikujua kabisa kama msiba utaenda Foo. Maandalizi yalifanyika hapa nyumbani, nadhani kuna kitu nyuma ya pazia kinaendelea. Na hakika ni Benjamin jana alivyowasili kubadilisha baadhi ya mambo na ni jambo jema sana maana Mzee hakuwa na nyumba Machame, alikuwa anafikia pale kwao, hivyo ilikuwa ni lazima afike kwenye boma lake alilojenga na Jack.

Ni jambo jema sana hili, kwasababu hata wale walikuwa wanavumisha uongo watafunga mdomo. Jack hana shida yeyote na familia ya Mengi, ni kelele na uongo wa mitandaoni tu.

Nakuhakikishia tu, hakuna aliyejua mwili utalala Foo leo.
Huwezi kuniaminisha eti Jackie anaweza washinda nguvu wachaga wote wale kwenye ngome yao. hUO UTAKUWA ULIKUWA MPANGO WA FAMILIA TANGU MWANZO ila sio lazima kila kitu kisemwe. Hawakusema msiba utakuwa kule ila kule ndo atakapozikwa.
 
Bongo ndo mana kutoboa ngumu sanah, yani watu wanachuki hatari.

Kweli ngozi nyeusi ni rangi ya laana mikosi na mabalaaa.
This is officially my best comment of the year!

If that old man wakes up today, he'd still be proud of his wife. Sasa kama aliezitafuta mali hakuona tabu kumsifia mkewe hadi kwenye vyombo vya habari, hawa wanaomchukia wanapata wapi jeuri?

Good enough, siku hizi kila kitu ni maandishi. So whether they like it or not, she's gonna have her fair share!

We can hate, we can curse, but end of day she'll be smiling all the way to the bank like a boss!
 
Mzee alivyo owa,watu wakaanza kuwabeza vijana
Ooh vijana mpo wapi Oohh vijana mmezidiwa na Wallet
Oohh vijana hamjatulia kimapenzi hadi vimwali vinawaacha
Sasa katokea kijana wa kihindi kapitia mzigo,leo mnaanza lawama.
Kweli nimeamini kale kausemi inayosema
“Ukiwa Mwongo,Usiwe Msahaulifu[emoji1321]‍♂️”
 
Ndio maana wale watoto wapo kama wana umwa hivi wamelegea legea kwa kifupi hawapo sawa, kumbe ni watoto wa chupa

Usiseme hivyo naona kama siyo vizuri!

IVF ni utaalam ambao Mungu amewapa Wanadamu, lakini Mungu ndiye anaeumba na kuruhusu mwanadamu kuzaliwa na kuishi hapa duniani.
Ni kama jinsi Mungu alivyowapa madaktari utaalam wa kuzalisha kina mama kwa njia ya operation pale ambapo njia ya kawaida inakuwa ngumu, sasa napo mtasema watoto wa kuzaliwa kwa operation ni legelege?

Tubadilishe mitazamo hasi kuwa chanya!

Watoto wa IVF wanakuwa watoto kamili kama wa kawaida tu.

Tuwapende watoto ni kama malaika wamejikuta wamezaliwa hawana hila yoyote!
 
Back
Top Bottom