Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Acha kuwadanganya watanzania wewe auoni hata aibu !!

Jiulize yule Mzee asingekuwa na kitu bidada angemvulia Mzee chupi amtengee na kumzalia?

Think twice Culture gal
Aibu iwe juu yako kwa kushindwa kunielewa sababu ya mihemko isiyokua na maana.
Soma tena uelewe
 
Kuna watu wanapenda sana kuonana mwingine akianguka na kupata shida..
Yani hapa wanachotaka kuona Jackie ananyimwa urithi na kufukuzwa..huu ni ushetani
Na ushetani wao utawarudia wenyewe, wakati wanatongozana hawakuwepo leo hii wanampangia mtu urithi,
Michango ya wadau humu ndio inasadifu jinsi walivyo cruel kwenye familia zao pia inaonesha haswaa jinsi mjane wa kiafrica anavyonyanyaswa pindi mumewe akifariki, nilidhani hayo mambo yameisha kumbe bado tena hata kwa wanaojiita wasomi.

what a shame!
 
Kwa hivi sasa hauwezi ukazungumza lolote kuhusu hao watoto kuwa ndio waongeza ukoo cuz kama dada yao na kaka yao ni LGBT kama ni kweli usemayo ...hata wao wanaweza kufuata njia hiyo
but lesbian anaweza zaa akiamua kuwa na familia, same kwanza gay anweza fanya IVF na mwanamke yoyote
 
Mwanaume mwenye mali akifa mjane ataambiwa hakuwa na mapenzi na mume. Waja wana visa sanah
 
Ndo mana mnashindwa kujadili ndugu zetu akina mdude wanatekwa mnajadilia mambo yasiyo na msingi kwa taifa hili na mengine ni personal issues za watu
Ndio ushafeli nawe kufuatilia comment ambazo hazina msingi huku kukiwa na hizo mada unazoona zina tija kwako, maisha uliyochagua kuishi usilazimishe mwingine kuyaishi LYL & MYOB
 
Eti mwaya,
Swali la kujiuliza ni kuwa ,

Je Mzee Mengi angekuwa hana hela kabisa kachoka hata Pension hana , je bidada angemkubali ?
Je angemzalia watoto?

Huo ndo utabaki kuwa ukweli
Kumbukeni jack alitongozwa hakujitongozesha
 
Acha kuchanganya kifo cha mengi na vitu vya kijinga [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kumbukeni jack alitongozwa hakujitongozesha

Hiyo si hoja!
Maana wanawake wanamtega mwanamme ili watongozwe wakijua ana pesa !

Yani umtege mwanaume halafu akikutongoza ukamkubalia useme yeye alianza?!

Aliyeanza ni Yule aliyemlia mingo!

[emoji3][emoji3][emoji3]

Wanawake someni, fanyeni kazi na siyo kuishi kwa kutegemea kutoka kimaisha kwa kutegemea K
 
Yaani madam Rita msiba umemkolea na kulia kwa kutaabika KULIKO the so termed mke wa marehemu I e Jack? Hatari kabisa hii.
si nae bi mdogo, lazima alie mwaya, mchepuko unauma, hata makeup hajapaka Rita wa watu
 
Hii technique aliutumia Rollin Stone alpoachana na mke wake. Alimuoa kwenye visiwa vya Fiji kumbe kwa sheria za Uingereza walikoachania ndoa haijulikani. Jamaa aliingia kutoa children maintenance tu.
ujue mi naishi hapa FIJI hehehe
 

JM aavuta cha R au ni mkono tu hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…