mkuu vipi unajua kama hawezi kuzaa? Au wewe Dr wa familia?
Inawezekana kabisa Hilo halina ubishi. Hajataka kuwa na demu permanentMimi naamini watoto ni privacy ya mtu kama yule abdiel ana watoto lakini hataki wawe public?
Tatizo watu wanataka mpaka mtu apeleke watoto wake iwe matangazo.. Au Yule mwanae marehemu unaniambia watoto hana na starehe zote zile na totozInawezekana kabisa Hilo halina ubishi. Hajataka kuwa na demu permanent
Unaamini rumours!! yaan Jacky amuue mumewe kwa ajili ya mali wakati alikua kwenye mali, don't be so naive.
angelia kwa kujitupa tupa mngesema ana act, analia kimya kimya kwa uchungu mnasema hana aibu, mbona hamuwaangalii watoto wake wale wakubwa?
Mimi naamini watoto ni privacy ya mtu kama yule abdiel ana watoto lakini hataki wawe public?
Ni kweli kabisa maana kwa umri wa mzee machache lazima alikuwa anatumia viagra maana mtoto mbichi yule kila siku anataka kula mhogoMi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Yaani wabongo kwa kutunga stori Abdiel mbona anawala sanaa!!!halafu naskia ana mtoto sina hakika sanaHuyo wa kiume sio kweli , hacheni kumchafua na story Zenu za kubuni, kwanza watu mmewajua baada ya huu msiba halafu mnamsingizia Jambo kubwa hivyo na ni uongo
Alitegesha kimaslahi zaidi smart investment!!! Mapacha baasi katulia tuliiii!!!!anasubiri urithi na utajiri baaasiii!!Nadhani wale watoto ni wa chupa yaani IVF. Maana kabla ya mimba Klynn na mzee walikuwa na safari nyingi sana za London, Uingereza. Hata mwanzo wa mimba yake. Naimani mzee alishiriki kikamilifu na ndo alilipia hayo matibabu. Nini hasa kilimpelekea kufanya hivyo, hata kama Klynn alimbembeleza. Mzee wa miaka 70 kuzaa ni kutesa tu watoto maana kama umri wetu wa kuishi ni miaka 75, mzee alizaa ili iweje ili hali alikuwa na watoto tayari?
Klynn aliomba watoto kama kitega uchumi. Tutasikia mengi.
Hatannua tena pochi ya millioni 7 Orijino kwa sasa na mawiving ya millioni 3 nne atatupumzisha wambea na zile quotes za kitajiri nafikiri atapunguza kwa sasa zitakuwepo za faraja tuAll in all Klyn ameshaagana na umasikini, wale watoto watapata child support na ada watalipiwa. Hata kama mama yao akikosa atakula hela ya watoto. Ingawa life will never be the same again.
Na hyo 25% hawa wakubwa nayo wanapaswa kupewa pia kwa sababu ni baba yaoHawa watoto walishapata share ya mama yao, Mengi alibaki na 25% ndiyo ameihonga kwa spring chicken.
Angekuwa anamchukua anamkula anamuacha anatafuta mwingine angeenjoy maishaMi ntamlaumu mengi mpaka kesho....umri ule kuoa na unapesa ni kujitia kwenye brand new stress.. alipaswa kula maisha tu unaita dem yeyote unaetaka unamla...hapo angeongeza siku za kuishi
Hakuna cha Mossad Wala nini akizingua tu Wahuni wanafanya yaoMwarabu wapi huyo Muisrael..
Bashite amteke huyo jomba aone mziki wa Mossad.[emoji16][emoji16]
Hakuna cha Mossad Wala nini akizingua tu Wahuni wanafanya yao
Sipo huko,ila awamu hii Wahuni wana nguvuEti eeh unazani raia wa israeli ni Mdude chadema??