DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,374
- 2,891
Mwanamke kufikia miaka 40 mpaka 50 kibailojia hawezi kuzaa tena. Mda wake unakuwa umeisha . Labda endapo Regina hayupo kwenye hiyo limit. Hiyo ni scientifically proved lakini Kaka abdiel bado anaweza kuzaa hata akifikisha Age ya 80 uko. Abdiel bado umri unamruhusu kwasababu ni mwanaume.
mkuu vipi unajua kama hawezi kuzaa? Au wewe Dr wa familia?