FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Watu mnaongea vitu msivyovijua..
Jack alishapewa chake mapema, IPP pale hana chochote chake. Na wala hawezi kudai chochote. Eti kapewa 50%, nani kawadanganya? Mange??
Jack alishaandaliwa maisha yake na Mzee, kule Machame kamjengea nyumba ya Ghorofa 2 Kijiji cha Foo, na hiyo nyumba ndio urithi wa watoto wake mapacha.
Msiba wa Mzee haujaenda na wala hautafika kwenye nyumba aliyomjengea Jack kule Foo Machame, msiba utalala na kufanyika kwenye boma la familia. Hilo pekee liwafaamishe nafasi ya Jack kwenye familia na biashara..
Jack angekuwa na matatizo na familia kama mnavyoaminishana huku mitandaoni yeye pamoja na dadake wasingeruhusiwa hata kubeba shada na dadake kukaa nae on front seats pale Karimjee.