Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Picha: Jacky Mengi akiwa na mwanaume wa kiarabu ambaye inasemekana anatoka nae kimapenzi

Mnasingizia mtu kwa kua amechelewa kuoa, wengine wamelelewa vizuri hawawezi kuzaa nje ya ndoa

Yule mwanamke si anakaribia menopause unadhani tabia yake ni siri haijulikani?na huyo aliyechelewa kuoa ni ipi sababu ya msingi?wanasema mji mzito huu
 
Jack hawezi kupata 50% ya share ya kampuni, acheni utani hata kama atakuwa ni mke wa ndoa, Jack akipata 15% amshukuru sana Mungu, hivi unajua share 50% nyie watu?

Huyu dada hata kama kuna kugawana mali hawezi kupata zaidi ya % 15, hawezi never na hatoweza kupata hizo 50%.....
 
Ila Jacky alitakiwa ata ajitie vitunguu machoni wakati huu wa msiba, ili aonekane kama anamajonzi KUJIKOSHA MBELE YA UMMA. Sio kwa ukomavu ule. Hata wakati wa kuaga, anajaribu kuact lakini sura imekataa. Na ukiangalia, body language kati yake na familia ya Mengi, hakuna mawasiliano kabisa. Uzee nao mzigo, mzee alitakiwa akomae kumla lakini asikubali kumzalisha.
 
Hii nayo wame edit kama ya Gwajima, mwana watu wanafanya wanasingizia sio mimi wameedit
 
All in all Klyn ameshaagana na umasikini, wale watoto watapata child support na ada watalipiwa. Hata kama mama yao akikosa atakula hela ya watoto. Ingawa life will never be the same again.
Kwani muarabu si yupo na ana pesa balaa
 
Back
Top Bottom