Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Wana haki pia ya kupata 25% ya babaHawa watoto walishapata share ya mama yao, Mengi alibaki na 25% ndiyo ameihonga kwa spring chicken.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana haki pia ya kupata 25% ya babaHawa watoto walishapata share ya mama yao, Mengi alibaki na 25% ndiyo ameihonga kwa spring chicken.
Mnasingizia mtu kwa kua amechelewa kuoa, wengine wamelelewa vizuri hawawezi kuzaa nje ya ndoa
Hapo sasa, ninamwamini ReginaWana haki pia ya kupata 25% ya baba
Yule mwanamke si anakaribia menopause unadhani tabia yake ni siri haijulikani?na huyo aliyechelewa kuoa ni ipi sababu ya msingi?wanasema mji mzito huu
Dah!!! Kweli umenikumbusha mkuuMkuu umemsahau yule mtoto wa Mwakasage hapa, na yeye inasemekana yule miss alimdedisha kwa stress
So-- utajuaje hatma ya hao mapacha hapo baadae jinsi itakavyo kuwa ...!?Mnaongea tuu, wenye uwezo wa kuundeleza ukoo wa mengi ni hawa watoto mapacha, hana mjukuu kwa mtoto wake hata mmoja, nasikia sikia za kunyapia huyu mmoja mchicha mwiba huyu mwingine jiwe msaga jiwe
Hatari sanaSamsoni ni Delila
Adam ni Eva
So-- utajuaje hatma ya hao mapacha hapo baadae jinsi itakavyo kuwa ...!?
Kwa hivi sasa hauwezi ukazungumza lolote kuhusu hao watoto kuwa ndio waongeza ukoo cuz kama dada yao na kaka yao ni LGBT kama ni kweli usemayo ...hata wao wanaweza kufuata njia hiyoHatm atajua Mungu, tunaangalia kwa sasa hivi hali ilivyo
We mwanga unaniitia moderator afanye nini?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]nyinyi mtu haahaaUnaniita mwanga Moderator
Kwani muarabu si yupo na ana pesa balaaAll in all Klyn ameshaagana na umasikini, wale watoto watapata child support na ada watalipiwa. Hata kama mama yao akikosa atakula hela ya watoto. Ingawa life will never be the same again.
Mama mama mke wa mtu mtamu akiwa kwa mumewe.Kwani muarabu si yupo na ana pesa balaa