Picha: Jamaa aliyemtukana Uhuru hababaishwi wala hatishiki, aonyesha ishara kidole cha kati

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa kifupi yupo tayari kwa lolote, tena hataomba msamaha na atakaidi hata kama itabidi kufanya jela makao yake ya kudumu.

22089104_669967729866894_3270396368792169891_n.jpg
 
Ukichaa huu sio wa kuuvumilia, apewe dozi stahiki
 
Ndio maana naipenda Tanzania, North Korea, South Korea, China, Russia, Cuba and all socialist countries wana order and dignity, huyu ingekua ni jembe letu Magufuli angekua mahali pengine harakaharaka.

Love you Nyerere Simba wa Africa.
1966-daressalaam-tanzania-president-julius-nyerere-centre-of-tanzania-FGGAK9.jpg
 
Yaani kijana kama huyu aliyeshiba na kuchoka uraiani anaweza kutunza mashamba ya mikonge au kuwa Fundi viatu magerezani saaafi.

Hiyo ni free resource itumike tu vizuri
 
Ndio maana naipenda Tanzania, North Korea, South Korea, China, Russia, Cuba and all socialist countries wana order and dignity, huyu ingekua ni jembe letu Magufuli angekua mahali pengine harakaharaka.

Love you Nyerere Simba wa Africa.

Jembe lenu na nani
 
Hilo nalo Swali, vijana wanaojua nini Tanzania inahtaji. Na ndio maana hata vijana wanaoshabikia huo upuuuzi hawawezi na haitatokea kuwapa nafasi Tanzania.

Wahuni wa hivi eneo lao linalowafaa ni gereza tu
 
Ndio maana naipenda Tanzania, North Korea, South Korea, China, Russia, Cuba and all socialist countries wana order and dignity, huyu ingekua ni jembe letu Magufuli angekua mahali pengine harakaharaka.

Love you Nyerere Simba wa Africa.
Jembe lenu? hebu shika adabu yako panya buku! tangu lini mhutu akawa mwema?
 
Ndio maana huwa nasema kuzungukwa na nyumbu kila kona inawajaza ujinga, labda na hao nyumbu real wapige kura.

Lakini kama kuendekeza huo ukanda maslahi hamfui dafu. Kanda nzima hamfikii hata ten percent ya idadi ya kura nchi nzima.

Hamuwezi kutusumbua
 
Kwa kifupi yupo tayari kwa lolote, tena hataomba msamaha na atakaidi hata kama itabidi kufanya jela makao yake ya kudumu.

22089104_669967729866894_3270396368792169891_n.jpg

Unachekelea wakati civil war iko mlangoni nchini Kenya? Kinachoendelea sasa ni civil war in the making!
 
Ndio maana huwa nasema kuzungukwa na nyumbu kila kona inawajaza ujinga, labda na hao nyumbu real wapige kura.

Lakini kama kuendekeza huo ukanda maslahi hamfui dafu. Kanda nzima hamfikii hata ten percent ya idadi ya kura nchi nzima.

Hamuwezi kutusumbua
We mbunyali Fanya yako..hujui hata unaongea na nani! usini fananishe na taka taka jamii ya familia yako..pumbav
 
KWA UPUMBAVU WAKO UMEONA N KITU CHA MAANA KULETA TANZANIA ILI TUJIFUNZE KUKOSA ADABU KWA VIONGOZI WETU KAMA HUYO MPUMBAVU MWENZIO?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Mungu bariki system yetu ya jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama. Ikifikia hatu kama hii maana yake nchi haina kiongozi.
 
We mbunyali Fanya yako..hujui hata unaongea na nani! usini fananishe na taka taka jamii ya familia yako..pumbav
Yaani we are loaded and ready,
Jaribuni kuleta upuuz mtaishia ktk mipaka wanayoishia nyumbu.

The good thing we are alerted, and we know your strategies fa@@@ weee, tena afadhari ya J ningekuwa mie mngevaa malapa nyang'au wote
 
Mungu bariki system yetu ya jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama. Ikifikia hatu kama hii maana yake nchi haina kiongozi.
Vyombo vipo imara uzuri wanajua majukumu yao vizuri wapo sharp kwenye kushughulikia case za style hii na watanzania wanaelewa vyombo vyetu havipendelei tabia za aina hii kabisa.
 
Back
Top Bottom