Picha: Jamaa Dubai ghafla akutana na Mfalme ndani ya lift

Alikuwa ndani ya lifti,ghafla Mfalme na wapambe wake wakafika. Anasema Mfalme kamsalimia binti yake, akauliza"Anajua mimi nani?"

Anasema they were all so excited that they forgot to wish His Highness 'Happy, Birthday' because that day was his birthday.
 
Unaona jinsi alivyo katili kwenye hio Picha?

Hapo, kawanunia wahindi, ingekuwa watanganyika je?

picha inatujazia server tu hapa jamvini, shabash
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…