mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
wanaume uwa hatucheki cheki ovyo.![]()
Bora usiione, Limenuna kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaume uwa hatucheki cheki ovyo.![]()
Bora usiione, Limenuna kweli!
Nasikia alipewa 'VIP' treatment na Iddi Amin Daddah.Hivi mwisho wa Okello ulikuaje baada ya kufurushwa Zenjibar?
Lakini kariiim!Hachekagi
Ova
Sijui kama utaeleweka!!Jidanganye, hakuna bahati mbaya hapo!
🤣🤣Angekutana na machawa Pro Max kama Mwijaku au Baba levo,
Iyo lift ingestuck kufanya kazi 🥴
...eti!Ukutane nae huyo iwe bahati "mbaya" tena?
Jamaa tangu agongewe mke wake mdogo kipenzi wa mwisho na mlinz Haya bint Husseni full huzuni na makasiriko. Imagine hela zote na milki anazo halafu unagongewa na mlinzi.
Huyo mhindi hiyo picha atakuja nayo bongo kuja kuitumia awekeze kwenye tender ya kufunga vifaa vya mawasiliano na finger prints ndani ya Jeshi la Polisi.
Mfalme ni yupi mwenye miwani au huyo mwenye kanzu?
Mfalme hakuna smile kabisaaa