Picha: Jamaa Dubai ghafla akutana na Mfalme ndani ya lift

Sheikh Maktoum inaelekea ni jamaa simple sana. Hata mwezi uliopita ghafla akaingia mgahawani watu wanakula basi full kuomba selfie na jamaa wala hana noma.
Kuna Wazambia alikutana nao njiani wanafanya shopping, akwaambia basi leo jioni tutakula wote, wakajuwa wamealikwa palace yake, kumbe kufika jioni kaja yeye akawachukuwa mgahawa wa kawaida tu akapiga nao msosi akalipa akasepa.

Huyo ni mtu wa watu, mali haijampa kiburi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…