Picha: Jay dee aka Komandoo aamua Kujifunza Karate

Picha: Jay dee aka Komandoo aamua Kujifunza Karate

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,284
Reaction score
38,364
Wakuu naona dada ameamua kufanya kweli.

Hongera Komandoo nadhani hii itakuongeza kujiamini na kuthubutu kwenye maisha yako.
1392815440967.jpg
1392815466828.jpg
1392815492249.jpg
1392815509478.jpg
 
Safi sana mdada,good for self defence, maana Dar yameibuka makundi mengi ya ukabaji,hii itasaidia kujilinda,na pia kama promota analeta mizinguo katika kulipa, wewe unazingua mwenyewe bila kukodi jeshi.
 
Safi sana! Nimeipenda hiyo! Ila kibongo unaweza ukakuta ana act movie!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mbona nguo zake safi sana hazina hata chembe ya jasho? alikuwa anafanya mazoezi au utani??Angalia wenzake nguo zao zilivyoonyesha jinsi zilivyochafuka kwa shughuli.

Anyway ni jambo jema
 
Mbona nguo zake safi sana hazina hata chembe ya jasho? alikuwa anafanya mazoezi au utani??Angalia wenzake nguo zao zilivyoonyesha jinsi zilivyochafuka kwa shughuli.

Anyway ni jambo jema

Mkuu sidhani kwa mwanafunzi mgeni anaweza kuanza na mazoezi magumu jumla, hapo ni kunyoosha viungo kwanza ili kuvilainisha.!
 
Safi sana mdada,good for self defence, maana Dar yameibuka makundi mengi ya ukabaji,hii itasaidia kujilinda,na pia kama promota analeta mizinguo katika kulipa, wewe unazingua mwenyewe bila kukodi jeshi.

Mazoezi ni mhimu sana hasa haya ya mapigano.
kumbuka Mkuu amesema uvulimivu sasa basi hivyo ni vema kujiandaa mapema.
 
Safi sana jidee kamilisha ukomandoo wako. As far as i know true karatee wanadispline sana sina hofu na wewe karatee inaongeza nidhamu na uwezo wa kuangalia mambo. Go jay de go.
 
Mazoezi lazima sio mwanamke likitambi hiloo tumbo tepetepe kaa mfuko wenye maji...
 
Hapo Gadner siku akiomba mchezo akiambiwa NO..Hakuna ubishi otherwise atachezea vitasa.:smile-big:
 
Hongera zake....................

ila kuna mkaka mmoja hapo hiyo ni rangi ya nguo yake ama
 
Hehehe kaanza na mkanda mweupe,ngoja tuone atafikia levo ya mkanda gani?? Anyway mazoezi muhimu kwa afya na self defense hongera zake.
 
itabid gadna atafute nakoz proof, lasivyo atang'olewa meno
 
Hakuna Kitu Hapo !

Kwanza nashangaa anajifunza Karate ili atishie watoto wakike!

Wanaomfundisha wenyewe maadili ya Karate F kabisa!
!
 
Back
Top Bottom