PICHA: Jinsi Mbunge Halima Mdee alivyosherehekea Siku yake ya Kuzaliwa

Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Kwa hiyo hawa wasio kuwa na uhakika wa mlo mmoja kwa siku ,wao hawasherekei siku zao za kuzaliwa ???
 
Huyo jamaa mwenye koti drafti drafti ndo mmiliki mtu au?
 
Mungu amsaidie hata aolewee ajipatie mtoto mmojaaa
 
Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.
mtoa mada kataja wapi chadema!. wenzako wanafight teuzi za mh rais zizingatie usawa wewe uko hapa unaweweseka na chadema.
hadi sasa vichwa zaidi ya 50 mmepigwa chini nafasi zenu zimechukuliwa na sisi. na bado
 
Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.
MaCcm bhana, mmeshau mlivyo kuwa mnapiga selfie na jamaa yenu kule Magogoni wakati wa birthday zake? Sasa Mh Halima kafanya tena kwa gharama zake imekuwa nongwa? Wakati mzee wa selfie alikuwa anatumia pesa zetu na watoto wakikaa chini hamkuona. Akili kubwa kuongozwa na akili ndogo
 
Eeenhee! hiyo ndo kazi chadema mnaweza
Eeenhee! hiyo ndo kazi ccm mnaweza kwa fitina n majungu.
kikwete alipofanyiwa birthday party n clouds mlitupia picha nyingi za sherehe yke na mlimpongeza kwa wingi.
au ccm ndio yenye mamlaka pekee wengine wakifanya ni nongwaaa?!!
 
Mbunge ana mfuko wa jimbo ambao anatakiwa autumie kwa maendeleo ya wananchi yy anafanyia siku ya kuzaliwa Nyumbu ni Nyumbu hana msaada wowote
Nkungulume mbona una mawazo ya "kimasikini" sana,kwa mshahara wa Mbunge anaopata kila mwezi atashindwa kuandaa kitu kama hicho?Unajuwa "signatory" wa account ya mfuko wa Mbunge jimboni?Unafikiri huo mfuko wa mbunge Halima Mdee ana access ya acount yake muda wote?Kama hujui vitu tulia kijana usijiabishe

Mbona JK hufanyiwa sherehe kila mwaka na marafiki zake,na kuna mwaka Clouds Media walimuandalia sherehe yake ya kuzaliwa na kughalamia kila kitu,ukiambiwa sherehe hii Mdee kaandaliwa na marafiki zake utaficha wapi "pum...bu" zako kwa aibu.Wacha fikra za kifukara ukaikiri kuwa masikini ni kuhurumiwa au kupata msaada
 
Wewe unapokula nyama choma kwenye bar, watoto au wazazi wako wanakula? Si ni mara moja mbn unamkomalia Mdee
TANGANA baaana anachekeshaaaa kweliiiiii..Eti a nafanya Bethidey watu wake Wa nalala njaa..Haaa haaaa Jamani kweli kaka Umevurugwaaa...Sasa Keki yenyewe sh.ngapi..kikweteee tena Ikulu Na Birthday hukuonaa...jamani AIBU Sana..sio lazima kila Thread uchangieeee
 
Duuh, she looks great!

Leo ndiyo kaonekana mwanamke mrembo haswaaa, mwenyewe kavaa gauni na viatu mchuchumio eti eeeh!!!??

Jamani vipi mnaomuelewa vyema, huyu dada kaolewa?
 
Halima ana furaha sana kwakuwa Easter Bulaya yupo na pembeni namuona mzee wa totoz Mbowe...
 
Kwakuwa swala la zanzibar mmetulia kana kwamba ni mazuri yanayofanyika, acha watu wajipostie birthday photos
 
Mbunge ana mfuko wa jimbo ambao anatakiwa autumie kwa maendeleo ya wananchi yy anafanyia siku ya kuzaliwa Nyumbu ni Nyumbu hana msaada wowote
Kwa hiyo asisherekee bday yake . Kwan Hana mshahara unauhakika gan ni hela ya mfuko wa jimbo. Happy birthday Halima Mdeee
 
Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Mbona ikulu iliwakaribisha wasanii wa bongo movie kusherehekea tuzo binafsi za wasanii wawili ambazi hazina faida yoyote kwa taifa na watu wakanywa vinywaji.kwani hayo huoni kama ni matumizi mabaya ya pesa za umma wakati kuna maskini hawajala zaidi ya siku mbili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…