Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,563
sasa kinachokuuma wewe ni nini?Unajua maana ya Jukwaa la Siasa? Kuna majukwaa ya kupeleka hii birthday ipo siku atanunua gauni jipya mtaanzisha uzi kusifia gauni lake kwenye ili jukwaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa kinachokuuma wewe ni nini?Unajua maana ya Jukwaa la Siasa? Kuna majukwaa ya kupeleka hii birthday ipo siku atanunua gauni jipya mtaanzisha uzi kusifia gauni lake kwenye ili jukwaa.
Acha wivu!! Mim nimpiga kura wake, **** una kiu Njoo apa triple 7 kawe nikupe za baridAnasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Kwahiyo kwakuwa wa CCM wanagonga meza tu ni vizuri wale viwavi jeshi kule kwa wagogo?? Jimbo la Kawe unalijua lakini isije kuwa unaongea ukiwa Geita na Dar hujawahi fikaHuyo si ndiye mama wa Nyumbu akisimama bungeni anaongea mpaka mishipa ina msimama akitoka hapo Kwenye birthday hamna hata haya
Acha mawazo ya kimaskini ndugu.. kwa hiyo mtu usisherehekee siku yako ya kuzaliwa?Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
[emoji1] [emoji1] [emoji1] duuuhNaomba niishie hapa maana post zangu zinafutwa
We unapata muda wa kuperuz JF ndugu zako wote wamekula?Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Mbona hukuyasema wakati mkwere alipo shehekea siku ya kuzaliwa kwake?.Acha wivu wa like.Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.
Mbona hukuyasema wakati mkwere alipo shehekea siku ya kuzaliwa kwake?.Acha wivu wa kike.
Mbona hukuyasema wakati mkwere alipo shehekea siku ya kuzaliwa kwake?.Acha wivu wa like.
Wamependeza sana. Kwanini kichwa chako kinawaza mambo mabaya tu?Vipi wamepiga uchi?.
mkuu nyani haoni kunduleeJakaya alivoifanya siku yake ya kuzaliwa ishu klauz ilikuwa siasa siyo?
Mbona mkulu aliyemaliza muda wake habari za kufiwa kupewa pole na msiba zinawekwa humu. Acheni kukuza mambo yasiyo tija. Halima mbali ya ubunge naye ni mtanzania anayo haki kuishi maisha ayapendayo na ana haki kuwapo kwenye jukwaa lolote JF. Acheni roho za kutu. Kuna maisha zaidi ya siasaUnajua maana ya Jukwaa la Siasa? Kuna majukwaa ya kupeleka hii birthday ipo siku atanunua gauni jipya mtaanzisha uzi kusifia gauni lake kwenye ili jukwaa.
Ulicho shangazwa nacho wewe pale kitu gani kupendeza kuna shangaza toka lini? Kama wamependeza si ungewapa sifa zao.Wamependeza sana. Kwanini kichwa chako kinawaza mambo mabaya tu?
Hata wewe umenishangaza sana.Ulicho shangazwa nacho wewe pale kitu gani kupendeza kuna shangaza toka lini? Kama wamependeza si ungewapa sifa zao.
Hivi nani ana miguu mizuri kati ya hao warembo wa kwenye hii picha?PICHA JINSI MHE: HALIMA MDEE ALIVYOSHEREKEA SIKU YAKE KUZALIWA
View attachment 331141
View attachment 331140
Huja nishangaa bado tafuta kuni shangaa tu utashangaa zaidi.Hata wewe umenishangaza sana.
Toka awali nimeona utakuwa umesibiwa na maradhi ya kushangaa shangaa watu bila shaka, na hapa mjini hali hiyo itakupa shida,ila basi shaka usiweke na kisha dawa yake ni ndogo sana ukiachilia udhia kidogo uliopo, natuzidi kuwasiliana.Hata wewe umenishangaza sana.