JK si alikuwa anasherekea kule Ikulu kwa tafrija kubwa tu za mamilioni.. Wananchi walikuwa wanakula?? After all Halima hausiki na wananchi kula au kutokula.. Upuuzi wa CCM mnataka muwabebeshe lawama wengine?? Unajua Halima Jimbo analotawala ndio linaongoza kukaliwa na matajiri wa Tanzania.. Bakhressa, Mengi, Rostam, Manji, Mafuruki, Dewji wote wanakaa huko anakotawala huyo binti.. Mitaa kama Masaki, Obey, Mikocheni, Msasani ambako mawaziri wote huishi huko anatawala huyu binti...Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Tunao watoto yatima wanatakiwa wasaidiwe hata kama ni mshahara wake bado ni kodi yetu hiyo ni majukumu yake kusaidiaKwa hiyo asisherekee bday yake . Kwan Hana mshahara unauhakika gan ni hela ya mfuko wa jimbo. Happy birthday Halima Mdeee
Kwani Halima ni mwanamuziki? Au ulitaka thread ya utapeli ianzishwe kuhusu yeye kama ile ya January, maana ile ipi jukwaa hili, acpia. Hawa ndio wana siasa na tutawajadili kwenye hili jkwaa hata wakinunua hilo gauni jipya.Unajua maana ya Jukwaa la Siasa? Kuna majukwaa ya kupeleka hii birthday ipo siku atanunua gauni jipya mtaanzisha uzi kusifia gauni lake kwenye ili jukwaa.
Acha wivu wewe, kwani umesikia katumia hela za mfuko wa jimbo? wabunge wanajenga mahotel na maisha ya wapiga kura wao yanaenda, iweje sherehe?Mbunge ana mfuko wa jimbo ambao anatakiwa autumie kwa maendeleo ya wananchi yy anafanyia siku ya kuzaliwa Nyumbu ni Nyumbu hana msaada wowote
Wala siyo wivu ni ukweli ulio waziAcha wivu wewe, kwani umesikia katumia hela za mfuko wa jimbo? wabunge wanajenga mahotel na maisha ya wapiga kura wao yanaenda, iweje sherehe?
Mkuu wapi CHADEMA imetajwa?Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.
Mkuu hapa hukuwa na haja ya kuishirikisha CHADEMA, haya ni mambo ya kawaida tu, kila mtu ana uhuru wa kusheherekea siku yake ya kuzaliwa. Kwakuwa siku ya kufariki hataweza, wataisheherekea wengine.Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.
kama sio watu wa njaa njaa basi nadhani hakuna haja ya kuwa na mbunge kule. wakazi wa kawe changamkeni! hahaha !Sasa keki ya birthday inaweza kumaliza njaa za wananchi? Mwache a! ashibe akashughulikie matatizo ya wananchi.. Harafu wananchi wa kawe siyo watu wa njaa njaa ujue...
Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Bahati mbaya sana mimi siyo mtoto na ninaloongea lina ukweliUna wivu sana wewe mtoto wa kiume,tena unamuonea wivu mwanamke
WIVU MTUPU! kuwalisha wananchi chakula kama ni jukumu la mbunge ndio mpeleke sera hii bungeni iandikwe kwenye katiba, mtu mzima kuongeea pumba ni ujinga, yule wa dodoma ambako wananchi wake wanakula viwavi jeshi ina hana hela za mfuko wa jimbo? Hao wananchi wano lia njaa kila siku wanapewa vyakula vya msaada hawana wabunge? sio kila uelewa lazima upitie darasani kama hukupata hiyo nafasi kuna busara na hekima kubwa nje ya vyumba vya madarasa.Wala siyo wivu ni ukweli ulio wazi
Mbona unaongea mpaka povu linakutoka kwani una share na huyo mbuge huko wanakokufaa njaa umesikia wanafanya sheria za kijinga kama huzo?WIVU MTUPU! kuwalisha wananchi chakula kama ni jukumu la mbunge ndio mpeleke sera hii bungeni iandikwe kwenye katiba, mtu mzima kuongeea pumba ni ujinga, yule wa dodoma ambako wananchi wake wanakula viwavi jeshi ina hana hela za mfuko wa jimbo? Hao wananchi wano lia njaa kila siku wanapewa vyakula vya msaada hawana wabunge? sio kila uelewa lazima upitie darasani kama hukupata hiyo nafasi kuna busara na hekima kubwa nje ya vyumba vya madarasa.
Ritz kila kitu wakijua weye tu, hata siku ya kutumbuliwa waijuaUnajua maana ya Jukwaa la Siasa? Kuna majukwaa ya kupeleka hii birthday ipo siku atanunua gauni jipya mtaanzisha uzi kusifia gauni lake kwenye ili jukwaa.
Tabia zako tu zinaonyesha wewe ni "mtoto wa kiume" mwanaume halisi hawezi kuwa na wivu kwa mwanamke...Mnashindwa kupeleka chakula Dodoma huko watu wamechagua CCM lkn wanakula viwavi jeshi na wengine wanadumaa kiakili kwa kukosa chakula halafu unakazania mtu kusherekea "birthday" yake tena aliyoandaliwa kwa suprise na marafiki zake...Wacha wivu na fikra za kifukaraBahati mbaya sana mimi siyo mtoto na ninaloongea lina ukweli
wa lumumbaaaa!;Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Vipi wamepiga uchi?.Hii picha imenishangaza sana
Redio gani umesikia inatangaza wananchi wa kawe beach wanakabiliwa na njaa? Sana sana utasikia wanadai magari ya taka manake wamekula wamesaza na vingine vimebaki na wanataka viende dampo...Huwezi kumlinganisha JK na huyo Nyumbu jike wewe katika hali ya kawaida kama mutu una uchungu mkubwa na wananchi kama ambavyo huwa tunamuona kwenye Luninga akiongoea kwa hisia kali kwenye vikao vya bunge.
Tusingetarajia kumuona akifanya sherehe zisizokuwa na maana yeyote huku wananchi wake wengi wakiishi kwenye hali ngumu mfano mzuri umeona jinsi JPM alivyofuta sherehe mbalimbali ili kufanya miradi ya maendeleo
Sababu hawana njaa basi wasiwe na mbunge... Kwani mbunge kazi yake kudai chakula cha njaa tu? Kushiriki Kutunga sheria.. Bajeti na kadhalika.kama sio watu wa njaa njaa basi nadhani hakuna haja ya kuwa na mbunge kule. wakazi wa kawe changamkeni! hahaha !