PICHA: Jinsi Mbunge Halima Mdee alivyosherehekea Siku yake ya Kuzaliwa

Unajua maana ya Jukwaa la Siasa? Kuna majukwaa ya kupeleka hii birthday ipo siku atanunua gauni jipya mtaanzisha uzi kusifia gauni lake kwenye ili jukwaa.
sasa kinachokuuma wewe ni nini?
 
Kuanzia mwaka huu uanza ukimgusa mtu wa ccm tu matusi ya kufa mtu.....acha waisome nambaaaa eeeeeh.£¥€£#€'
 
Anasherekea birthday wkt wananchi wake hawana uhakika wa kula walau mlo mmoja kwa siku!pathetic
Acha wivu!! Mim nimpiga kura wake, **** una kiu Njoo apa triple 7 kawe nikupe za barid
 
Huyo si ndiye mama wa Nyumbu akisimama bungeni anaongea mpaka mishipa ina msimama akitoka hapo Kwenye birthday hamna hata haya
Kwahiyo kwakuwa wa CCM wanagonga meza tu ni vizuri wale viwavi jeshi kule kwa wagogo?? Jimbo la Kawe unalijua lakini isije kuwa unaongea ukiwa Geita na Dar hujawahi fika
 
Hizo nazo ni sera za Chadema kusherekea birthday? Hayo mambo yake binafsi hayana uhusiano wowote na siasa.
Mbona hukuyasema wakati mkwere alipo shehekea siku ya kuzaliwa kwake?.Acha wivu wa like.
 
Unajua maana ya Jukwaa la Siasa? Kuna majukwaa ya kupeleka hii birthday ipo siku atanunua gauni jipya mtaanzisha uzi kusifia gauni lake kwenye ili jukwaa.
Mbona mkulu aliyemaliza muda wake habari za kufiwa kupewa pole na msiba zinawekwa humu. Acheni kukuza mambo yasiyo tija. Halima mbali ya ubunge naye ni mtanzania anayo haki kuishi maisha ayapendayo na ana haki kuwapo kwenye jukwaa lolote JF. Acheni roho za kutu. Kuna maisha zaidi ya siasa
 
Hata wewe umenishangaza sana.
Toka awali nimeona utakuwa umesibiwa na maradhi ya kushangaa shangaa watu bila shaka, na hapa mjini hali hiyo itakupa shida,ila basi shaka usiweke na kisha dawa yake ni ndogo sana ukiachilia udhia kidogo uliopo, natuzidi kuwasiliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…