Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
YANI ile kitu bana
ujue Jackline kawa mmama ghafla halafu Regie kawa brotherman ghafla tu!dah!
Lakini ni wa muzee kweli?,sio kuna kajamaa kamefunga goli na babu anasaidia kulea.
twende tukapiganie nchi ila kumbuka kazi na dawaha ha ha ha ..yani hadi mwisho wa dunia ufike sie wengine tutakuwa tumekoma ubishi ahaha haya wale wa jukwaa la siasa twendeni tukaendelee kupigania nchi...ahahha
siku hizi uzee mwisho kabuku na mkese ukiwa chalinze jua na wewe beibhahahaa.. mwenyewe kakuvalia MODO..chezeaaa??? ati uzee mwisho chalinzeeeeeeeee
Na mmliki wa bss amechwa wapi?
???...ndugu m 23.......maelezo kidogo...udaku tymemuulize ally kiba aka single boy
kuna wakati nilisikiaga habari za mahusiano ya huyu dada na mengi nikadhani ni mambo ya udaku kumbe ni kweli, ama kweli fedha kiboko ya njia. Afu mengi alivyopozi utadhani yuko sawa kiumri na double g
Na mmliki wa bss amechwa wapi?
brother umenena kweli kwani hata mimi nilijua ni godwin gondwe kumbe ni bosi wake kweli pesa inakufanya uwe kijana
Lakini ni wa muzee kweli?,sio kuna kajamaa kamefunga goli na babu anasaidia kulea.
YANI ile kitu bana
ujue Jackline kawa mmama ghafla halafu Regie kawa brotherman ghafla tu!dah!