Picha: Jinsi Mengi alivyosherekea birthday ya Mapacha wake

Picha: Jinsi Mengi alivyosherekea birthday ya Mapacha wake

YANI ile kitu bana
ujue Jackline kawa mmama ghafla halafu Regie kawa brotherman ghafla tu!dah!

nliwahi ambiwa na babu yangu binti anapotembea na mbabu kuna kubadilisha damu kunatokea,mzee anakuwa kijana ,viceversao
 
ha ha ha ha ..yani hadi mwisho wa dunia ufike sie wengine tutakuwa tumekoma ubishi ahaha haya wale wa jukwaa la siasa twendeni tukaendelee kupigania nchi...ahahha
twende tukapiganie nchi ila kumbuka kazi na dawa
hahahaa.. mwenyewe kakuvalia MODO..chezeaaa??? ati uzee mwisho chalinzeeeeeeeee
siku hizi uzee mwisho kabuku na mkese ukiwa chalinze jua na wewe beib
 
Wameuaaaaaaaa...... Congratulations!!!! Binti kampa maisha Mzee ataishi miaka 100. Binti kapendeza anatunzwa na Mzee hana stress za masharobaro...
Vijana mtangoja saaaaaana!!!!
 
Haki ya nani Wanawake wazuri watabakia kuwa mashemeji!!!
 
Hela mbaya sana.....aah i mean umaskin mbaya sana
 
Kasubiri wajukuu kaona hatopata akaamua kuwatafuta mwenyewe ili biashara zake zipate wa kurithi..good move!
 
kuna wakati nilisikiaga habari za mahusiano ya huyu dada na mengi nikadhani ni mambo ya udaku kumbe ni kweli, ama kweli fedha kiboko ya njia. Afu mengi alivyopozi utadhani yuko sawa kiumri na double g

brother umenena kweli kwani hata mimi nilijua ni godwin gondwe kumbe ni bosi wake kweli pesa inakufanya uwe kijana
 
brother umenena kweli kwani hata mimi nilijua ni godwin gondwe kumbe ni bosi wake kweli pesa inakufanya uwe kijana

Siyo pesa tu Mkuu. na mwanamke mtakayeheshimiana na kusikilizana. Kabla Mengi hajawa na mrembo Klyn alikuwa mzeee pamoja na mkwanja alionao. Kapata mwanamke wa ndoto zake kambadili kabisa Mzee!!
 
Lakini ni wa muzee kweli?,sio kuna kajamaa kamefunga goli na babu anasaidia kulea.

Swali hilo umeshawahi kujiuliza kuhusu wale wa kwako pale home? Au wewe huwa unawapimaga DNA wakizaliwa? Acha wivu wa ki...( Mzee Msekwa atamalizia....).
 
Inamaana mengi mke wake ambae amewazaa kina marehemu motie na regina mengi kamuuacha!? Au ndio anapiga nje
 
Mdada katulia hadi Dr Mengi kakubali, fundisho kwa hawa madada wa Bongo movie watulize miili yao kuwa na familia inayoeleweka nikitu muhimu.
 
hii ndo inahamasisha vijana msikate tamaa kwenye kutafuta pesa mambo mengine yote mtapata hata uzeeni watu wanaondoka na miss tz na atakuita tu the love of my life!!!!
 
Back
Top Bottom