Amemuoa huyo dada au?
dah sipati picha alivyokuwa anamtongoza! sijui alimpiga swaga zipi?
dah sipati picha alivyokuwa anamtongoza! sijui alimpiga swaga zipi?
Hivi huyu mzee si alikuwa rafiki wa baba yake Klynn?
Hapa naona wivu unawasumbuaK Lyne kabadilika amevaa kiheshima chezea kuolewa na mzee
unaipenda couple au unaipenda pesa inayomilikiwa na hii couple.Naipenda sana hii couple!!!!!!!! watoto wako do cute.