Picha: Jinsi Mengi alivyosherekea birthday ya Mapacha wake

Picha: Jinsi Mengi alivyosherekea birthday ya Mapacha wake

kwa watoto hawa asingechomoa asilani kama MAHITA
 
dah sipati picha alivyokuwa anamtongoza! sijui alimpiga swaga zipi?
 
Hivi huyu mzee si alikuwa rafiki wa baba yake Klynn?
 
dah sipati picha alivyokuwa anamtongoza! sijui alimpiga swaga zipi?

ukiwa na pesa za kutosha au muonekano wa kinyamwezi,sura ya mama na una jina kubwa mjini!huna haja ya kutongoza
 
Iko poa,ila huyu dada operation Kimbunga walimuangalia kweli?mbona anafanana na wale madada wa M23?
 
DAMN! ALIYESEMA MONEY IS NOT EVERTHING WAS SUCH A LIAR! MOOLAS, MONEY, BENJAMINS, DOO IS EVERYTHING, wakaka, wababa acheni kujiweka soft soft, kwanda magym kutunisha mavifua, wakati hata paka ana kifua, eti mwanaume handsome, kwani naula huo uhandsome?? tafuteni pesaaaaaaaa! happy birthday to jayden and ryan, may u boys live to blow out a 1000 candles!!

jacky uachwe upumuwe, umejua kucheza na fursa, na hivho ni kipaji toka moyoni!
 
Back
Top Bottom