Picha: Julius Nyerere akimvisha Medali Jenerali Ulimwengu

Mchango wa Ulimwengu kwa vijana, Tasnia ya habari, demokrasia, uchambuzi wa masuala ya kitaifa ni mkubwa sana

Kiufupi Ndugai hana impact yoyote kubwa katika nchi hii kulinganisha na Jenerali Ulimwengu

Wakati Ulimwengu akiwa kwenye trenches na akina Samora Machel, Ndugai alikuwa shule ya msingi anaenda shule bila viatu, sasa atamtisha nini Jenerali?
 
Hii ilikuwa mwaka 1988 baada ya kutambua Mchango wake katika kuwatumikia vijana .

View attachment 2009075
Yeah, hakujua! Tanzania tuna tabia ya kuwaamini watu tukidhani ni wema kama sisi. Huyu siyo Mtanzania jameni anzieni kwenye jina lake. Hata Njelu Kasaka hakujua G55 alidhani ni mwenzao kumbe vurugaji.
 
acha ubwawa hata JU kawa mjinga kumsema job, sio size yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…