Picha: Julius Nyerere akimvisha Medali Jenerali Ulimwengu

Yeah, hakujua! Tanzania tuna tabia ya kuwaamini watu tukidhani ni wema kama sisi. Huyu siyo Mtanzania jameni anzieni kwenye jina lake. Hata Njelu Kasaka hakujua G55 alidhani ni mwenzao kumbe vurugaji.
Thibitisha kwanza uraia wako na ututhibitishie kwamba Ulimwengu sio raia
 
Hii ilikuwa mwaka 1988 baada ya kutambua Mchango wake katika kuwatumikia vijana .

View attachment 2009075
Harafu Kuna mbwa majike wanatubania pua eti Ulimwengu sio Mtanzania,ni mnyarwanda.
Sasa wanataka wenyeji wa ngara,sehemu iliyopakana na Rwanda,wafanane na nani?
Wafanane na wawembwa wa Tunduma,wanaofanana na watu wa Zambia?au wafanane na wamakonde wa Tunduru,wanaofanana na wenzao wa Msumbiji?!
 
Siku akimtukana au kumkosoa Mbowe Bavicja mtageuka huyo Jenerali
 
Hii ilikuwa mwaka 1988 baada ya kutambua Mchango wake katika kuwatumikia vijana .

View attachment 2009075
Jifunze Kutoka Kwa mkt wako U-Turn aliyopiga kumhusu JPM.

Mkt alikiri jiwe alikuwa na uthubutu na alisimamia vizuri raslimali za Taifa.

Amekuwa akisema pia mabaya ya jiwe Ili viongozi wengine wasiyafuate.

Mh LEMA amewahi fanya hivyo pia alipokiri kuwa JPM aliitangaza vizuri Nchi kuliko huyu sababu alihimiza uchapa KAZI na PAN AFRCANISM.

Kuna tabia imejengeka CDM Kila anayemtukana JPM mnamuona kama shujaa, sikatai uhuru wa maoni.

Nikufikirishe kidogo,

Mkt na makamu wake walipohamasisha maandamano Nchi nzima Ili mkt atolewe JELA Kwa case ya mchongo, huoni kuwa kumtukana jiwe kumeathiri chama chenu Kwa kiasi kikubwa kupata support ya watu wa chini ambao zamani walikuwa mtaji mkubwa wa KISIASA wa CDM?

Ktk suala la JPM mngebalance mapema, Leo hii hao mnaowaita S.gang wote wangekuja CDM na mngepata political gain.

Nashauri fanyeni siasa kisayansi, mtu huyu Magufuli alifanya MAZURI mengi sana ktk Nchi kuliko mabaya,

Mkiyakubali MAZURI yake wananchi wataelewa kirahsi.

Nijibu kisomi Kwa HOJA. Amen
 
Mimi sijawahi kumtukana Magufuli , kama una ushahidi weka hapa hayo matusi , BALI MARA ZOTE NIMEMWANDIKA MAGUFULI KWA TABIA ZAKE ZA UKATILI , USHAMBA , ROHO MBAYA , VISASI NA ULEVI WA MADARAKA , hata mara moja kumuelezea mtu alivyo na tabia alizonazo hajawahi kuwa matusi .

Kingine kinachonihusu mimi ni hiki , situkani watu humu JF kwa vile nina tabia njema , na hata sheria za JF haziruhusu matusi , lakini siogopi kukueleza ukweli wewe ama mwingine yoyote , hata akiwa kiongozi wa nchi , polisi ama yoyote , chunguza vizuri maandiko yangu yote utanijua bila shaka .
 
Ni HAKI Yako KIKATIBA Kutoa maoni,

Mm nimekushauri tu, COIN Ina pande mbili. Sema na Ule upande mwingine kubalance situation.

Poleni maana yaezakuwa aliwaumiza sana, bt kama Taifa inatubidi tusonge mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…