Mimi sijawahi kumtukana Magufuli , kama una ushahidi weka hapa hayo matusi , BALI MARA ZOTE NIMEMWANDIKA MAGUFULI KWA TABIA ZAKE ZA UKATILI , USHAMBA , ROHO MBAYA , VISASI NA ULEVI WA MADARAKA , hata mara moja kumuelezea mtu alivyo na tabia alizonazo hajawahi kuwa matusi .
Kingine kinachonihusu mimi ni hiki , situkani watu humu JF kwa vile nina tabia njema , na hata sheria za JF haziruhusu matusi , lakini siogopi kukueleza ukweli wewe ama mwingine yoyote , hata akiwa kiongozi wa nchi , polisi ama yoyote , chunguza vizuri maandiko yangu yote utanijua bila shaka .