Picha: Julius Nyerere akimvisha Medali Jenerali Ulimwengu

Yeah, hakujua! Tanzania tuna tabia ya kuwaamini watu tukidhani ni wema kama sisi. Huyu siyo Mtanzania jameni anzieni kwenye jina lake. Hata Njelu Kasaka hakujua G55 alidhani ni mwenzao kumbe vurugaji.
Ni busara mkatafute hoja za kupangua hoja zake. Poleni
 
Mchango wa Ulimwengu kwa vijana, Tasnia ya habari, demokrasia, uchambuzi wa masuala ya kitaifa ni mkubwa sana

Kiufupi Ndugai hana impact yoyote kubwa katika nchi hii kulinganisha na Jenerali Ulimwengu

Wakati Ulimwengu akiwa kwenye trenches na akina Samora Machel, Ndugai alikuwa shule ya msingi anaenda shule bila viatu, sasa atamtisha nini Jenerali?
Anayo ya kupiga watu bakora
 
Kingine kinachomuuma Ndugai ni hiki

Mzee_Jenerali_Ulimwengu_alipomtembelea_Mh._Tundu_Lissu_hospital_Nairobi_Kenya._Kumbukizi..jpg
 
Mchango wa Ulimwengu kwa vijana, Tasnia ya habari, demokrasia, uchambuzi wa masuala ya kitaifa ni mkubwa sana

Kiufupi Ndugai hana impact yoyote kubwa katika nchi hii kulinganisha na Jenerali Ulimwengu

Wakati Ulimwengu akiwa kwenye trenches na akina Samora Machel, Ndugai alikuwa shule ya msingi anaenda shule bila viatu, sasa atamtisha nini Jenerali?
Ulimwengu nimeanza kumsoma makala zake nikiwa darasa la pili . Jamaa kichwa sanaaaaa

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mchango wa Ulimwengu kwa vijana, Tasnia ya habari, demokrasia, uchambuzi wa masuala ya kitaifa ni mkubwa sana

Kiufupi Ndugai hana impact yoyote kubwa katika nchi hii kulinganisha na Jenerali Ulimwengu

Wakati Ulimwengu akiwa kwenye trenches na akina Samora Machel, Ndugai alikuwa shule ya msingi anaenda shule bila viatu, sasa atamtisha nini Jenerali?
Siku zimebadilika sana.

Siku hizi 'vinyago' vya kuchonga vinatisha sana!
Hivi hukumbuki jinsi Lissu alivyopokonywa ubunge wake, au kuona wabunge wasiokuwa na chama wakawa bungeni kinyume cha katiba?

Hivi vinyago vya kuchonga siku hizi vimewezeshwa sana na vinatisha hasa!
 
Yeah, hakujua! Tanzania tuna tabia ya kuwaamini watu tukidhani ni wema kama sisi. Huyu siyo Mtanzania jameni anzieni kwenye jina lake. Hata Njelu Kasaka hakujua G55 alidhani ni mwenzao kumbe vurugaji.
 
"Atake asitake" legacy nukuu za aibu kwa taifa letu tuliwahi kuwa na mfumo duni watu wa ajabu kupenya nafasi za juu uongozi.
Mungu ana maajabu sana. Ndugai alimwambia Ally Kessy aweke hoja yake kwa ajili ya bunge lijalo. Ali Kesy akapingwa mweleka. March 17 maji yakitingimanya. Sasa kajitu kafupi hakana pa kushikia

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Wajibu wa viongozi wa umma ni kutumikia watanzania. Hakuna siku wamepewa cheo cha kuwa maboss wa watanzania
 
Yeah, hakujua! Tanzania tuna tabia ya kuwaamini watu tukidhani ni wema kama sisi. Huyu siyo Mtanzania jameni anzieni kwenye jina lake. Hata Njelu Kasaka hakujua G55 alidhani ni mwenzao kumbe vurugaji.
.
IMG_20211112_192010.jpg
 
Hizi picha ziko makumbusho kwahiyo, au amezitoa Jenerali zitumike
Picha zinapatikana sehemu mbali mbali, nyingine nadhani hata Ulimwengu mwenyewe alishazisahau.
 
Mchango wa Ulimwengu kwa vijana, Tasnia ya habari, demokrasia, uchambuzi wa masuala ya kitaifa ni mkubwa sana

Kiufupi Ndugai hana impact yoyote kubwa katika nchi hii kulinganisha na Jenerali Ulimwengu

Wakati Ulimwengu akiwa kwenye trenches na akina Samora Machel, Ndugai alikuwa shule ya msingi anaenda shule bila viatu, sasa atamtisha nini Jenerali?
Hahaha you're damn right. Ndugai asijifananishe kabisa na gen. Ulimwengu. Hakuna kijana yeyote nchini anayevutiwa na ubunge wala uspika wake. What a legacy is he building to the youth?
 
Back
Top Bottom