Picha: Juma Jux ameiaga rasmi kampeni ya kataa ndoa. Afunga ndoa na mchumba wake Priscilla

Hii ndoa itadumu sanaaaaaa... wacha tusubiri sherehe zinazofuata, maana wanaija ni mabingwa wa kucelebrate
Huu ni mwanzo tu
 
Kwanza nimpongeze kwa Kutokuzoa vikongwe wa 80z na early 90z kaenda kuchukua toto mbichi ya 2K, ila sijajua kama amejipanga na Prenup, maana Nigerians nao… anyway, Nawatakia kila la kheri!!
 
Kwa uzoefu wangu binti kajitafutia matatizo. Dini ni factor kubwa kwenye ndoa. Wenye kuelewa wataelewa.
Uzoefu wako sio wa kila mtu... punguzeni uchawi kwa watu msiowajua

Wengine tupo hapa dini tofauti na maisha yanaenda miaka imekata down 5-10 yrs hiyo range hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…