Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,543
- 1,860
Vip ya mtoto wa tandale lini mkuu??
Itakapokaribia mfunguo mosi wa Ramadhan 😆😆
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip ya mtoto wa tandale lini mkuu??
Muda utaongea.... si unaona boss yule bwana wa 12 katulia tu na ndoa yake na ex wa kanumbaSi wanadai jamaa anaruka sana na gays? Itakuaje
Jambo jema hili ..Wakuu,
Kiongozi wa Mabachelor Tanzania, Juma Jux nae rasmi ameingia ndoani.
Kataa ndoa mmepoteza moja ya makamanda wenu watiifu katika kambi yenu.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio la ndoa yao.
View attachment 3228427
View attachment 3228428View attachment 3228429
Na utasikia talaka kila kona,Huu mwaka kataa ndoa wameuanza vibaya, ni ndoa kila kona.
Kheri tele katika ndoa yao, MaashAllah!
Mke wa mtu kaingiaje hapa tena?Masikini vanessa,
Ndio basi tena
FitnaJuma anapenda sana shirki, siju kama watakuwa couple yakuigwa
Ajenge familia ukikaa sana bachelor unaonekana km chakulaJux katumbukia kwenye shimo la utapeli
Shosti ulitaka wewe ndio uwe wa kwanza kuwahabrisha mashosti wenzio?Kuna mlisha matangopori [emoji1646] wa JF alisema leo Chibu anapeleka posa kwa kina Zuu [emoji23][emoji23].
Nasikia bwabwa huyu ataweza ndoa kweliWakuu,
Kiongozi wa Mabachelor Tanzania, Juma Jux nae rasmi ameingia ndoani.
Kataa ndoa mmepoteza moja ya makamanda wenu watiifu katika kambi yenu.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio la ndoa yao.
View attachment 3228427
View attachment 3228428View attachment 3228429