Ujumbe wangu mfupi,
2025, Asante kwa Kila Kitu! 🙏
Mwaka huu umetuletea furaha, machozi, mafunzo na ushindi. Tumefikia mwisho wake, ingawa kulikuwa na changamoto nyingi, tumekuwa na kujifunza katika changamoto hizo.
Karibu 2026! 🎉
Tunaingia mwaka mpya kwa moyo mkunjufu, matumaini makubwa na dua za kheri. Nawaombea wote afya njema, furaha tele na mafanikio makubwa zaidi.
Heri ya mwaka mpya kwenu wote!
🤞
Ukiamua kushika kazi ya boss, Fanya kazi ya watu vizuri. kufanya kazi mbovu atakayekuja hatauliza umelipwa bei Gani , yeye atasema umefanya kazi mbaya.
ifanye vizuri vizuri, hauwezi acha.
Watu wanatoa pesa zao, heshimu pesa za watu n kazi Yako itaheshimiwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.