View attachment 3511904
Kitchen cabinet design 💡
🤣🤣🤣 Ila we jamaa, ukuje nikupe kibarua mkuu utulize njaaCheki sasa na wewe.
Kitchen cabinets ziko wapi hapo ????????
Advertisement ya ujenzi wa kitchen cabinet umeweka li picha la kitchen chairs kwenye kitchen island !
Yani nafungua huku ulikonikaribisha cha kwanza nakutana na li picha scandalous....
Nadhani tatizo ni uwezo wa wataalam wetu kujieleza na ku present kazi zenu.