Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

1762378150535.jpg
Haya tupate wadhamini kidogo 🤣
 
New project (11).jpeg

2 Bedrooms
Moja ni Master.

Public toilet
Jiko la kiaina.
Sitting room.

Inakaa kwenye eneo la mita 15 Kwa 15. na nafasi kubwa inabaki kama unavyoona
 
Somewhere in Mbande ndani ndani huko 4Days ago
 
Kambi ya siku nne tulilala hapo
 
VideoCapture_20251124-133956_014333.jpg

Kazi ilikuwa kupandisha boma tu
Msingi ulikuwepo tayari
 
3 bedrooms
Sebule
Jiko
Public toilet
 
Tunaendelea tulipoishia jana
 
IMG_20251202_095655_943.jpg

Maandalizi ya Rangi baada ya kumaliza Skiming
 
Back
Top Bottom