Kuna hii ramani nimeichora na kufanya mahesabu mpaka kupau bati.
Ni 2 Bedrooms (Chumba Kimoja ni Master)
Public Toilet, sebule na sehemu ya kitchen Kwa pembeni.
Hesabu zake kuanzia Msingi mpaka kupiga bati ni 8 millions!
Hesabu hiyo imejumuisha material yote na Hela ya ufundi.
Hesabu za Madirisha na Milango, Plasta nk hazijawekwa hapo. Ni hesabu za kujenga na kupiga bati.
Kumbe hakuna jipya chini ya jua bwana 𤣠hii kazi niliifanya miezi kadahaa nyuma, halafu Leo nimeona picha Moja kutoka makumbusho ya majimaji Songea, kazi kama hii hii bila shaka ilifanyika miaka ya 1910 kabidi nirudi hapa kwenye Uzi wangu
Itabidi baadae nikitulia nipost kazi zangu nyingine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.