Na gharama za kawaida za kuezeka kwa Dsm maeneo kama Bunju huwa ni sh ngapi mbali na kwamba kila fundi ana bei yakeKazi kazi mkuu!
Karibu sana
Swali rahisi lakini gumu pia!Na gharama za kawaida za kuezeka kwa Dsm maeneo kama Bunju huwa ni sh ngapi mbali na kwamba kila fundi ana bei yake
AsanteSwali rahisi lakini gumu pia!
Bei ya kuezeka inategemea nyumba Ina ukubwa gani mkuu.
Bei ya kuezeka banda la vyumba vinne SI sawa na kuezeka nyumba ya vyumba vinne.
Banda Nina maana kama hizi nyumba za kupangisha uswahilini zenye muundo wa L au I.
Bei ya kupaua hiyo na kupaua nyumba ya ramani haziwezi kuwa sawa.
Kwahiyo bei itategemea nyumba ikoje
Shukrani mkuuKazi kazi mkuu!
Karibu sana
Mkuu me niwe SAIDIA FUNDI wako unalipa shingapiKama una kazi ya Ujenzi nicheki nikufanyie kazi Yako +255624254690
Bei ya wazawa, huduma ya watalii
View attachment 3462154
Uko mkoa gani nije kupiga KAZIMimi nalipa 15,000 day, na chakula Cha mchana nalipa.
Mara kadhaa hata nauli Huwa namlipia saidia wangu!
Kalaga Baho Nongwa kazi hiiMimi nalipa 15,000 day, na chakula Cha mchana nalipa.
Mara kadhaa hata nauli Huwa namlipia saidia wangu!
Ibada ni ibada mkuu 🤣! Mimi hii ndiyo ibada inayoniweka mjini. Kwahiyo naiheshimu na ninaifanya siku yoyote nikiipataVipi lakini ukiwa unafanya Ibada hii huwezi kuacha katikati eti unakwenda kwenye ile Ibada nyingine ? Au kusema leo ni Ijumaa; Jmosi au Jumapili wakati zege hailali ?!!!
Niko Dar mkuu.Uko mkoa gani nije kupiga KAZI
Sawa ngoja nimwambia ndugu yangu Kalaga Baho NongwaNiko Dar mkuu.
Kwangu kazi siyo za kudumu (Kila siku, wiki mwezi mwaka)
Naweza kufanya kazi siku 7, kazi ikaisha.
Ila Kuna sehemu kazi ni siku zote mpaka uumwe wewe.
Kwenye kampuni za ujenzi,
Huko wanalipa Kibarua 10,000 mpaka 12,000.
Hapo Kila kitu unajitegemea. Fundi analipwa 20,000 mpaka 25,000.
Hiyo ni mtu wa system mkuu 🤣Sawa ngoja nimwambia ndugu yangu Kalaga Baho Nongwa