Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Mwilli ni hekalu la Bwana.! Hilo unalojenga sio ofisi ya tawi la fisiemu
 
XRecorder_Edited_20250824_04.jpg
Usikae kinyonge njoo nikujengee Kwa bei sawa na Bure 🤣 🤣
Maisha yenyewe mfupi haya sitaki kufa na ujuzi wangu!
Walau nikikujengea hata ukisikia nimekufa utanikumbuka Kwa kazi yangu 🤣🤣
 
Waliojenga Great Wall ya China wako wapi? Walikufa lakini kazi Yao tunaiona Leo
Wazee wa Mapyramid wako wapi?
Hawapo Tena ila kazi Yao tunaiona 🤣🤣
 
screenshot_VID_20250828_090817_1756381372166.png
Haya mlete hizo kazi Sasa wakuu 🤣
Namalizia hatua ya Plasta hapa
 
Iko ndani ya ile ile fensi ndogo ninayojenga
 
Koplo ibada ngumu kama Novena 🤣🤣
 
Pamoja na yote imefanyika salama
 
Kazi ya ujenzi wa mnara wa tenki la maji
 
Boss anataka kitu cha uhakika siyo tiatia maji
 
Temporary toilet 🤣?
Wazungu mtanisamehe kama nimekosea Lugha yenu
 
Back
Top Bottom