Mrs none
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 557
- 998
Sijaenda nilitaka kwanza uchaguzi uishe sasa nimekupata ww nimeghairiAfadhali kumbe bado hujaenda.
Sijaenda nilitaka kwanza uchaguzi uishe sasa nimekupata ww nimeghairiAfadhali kumbe bado hujaenda.
😆😆Sijaenda nilitaka kwanza uchaguzi uishe sasa nimekupata ww nimeghairi
Naomba ela ya kula mapenzi
hahaha mapenzi yanaliwa?Naomba ela ya kula mapenzi
Mpenzi 😅hahaha mapenzi yanaliwa?
Asante mkuu Kwa swali lako.Nikikuambia unijengee self ya room tatu moja master, yenye public toi moja, jiko na dainning kwa pamoja.
Ukubwa wa room ft 9*9
master room ft 10* 12 plus toi
Sebule ya ft 12*12
Daining na jiko ft 9*9
Itapiga kwa bei gani nipo chuga,
Nb. rangi ntakuambia ya kupaka baadae
Kama hautajali unaweza kunipa mchoro wa nyumba Yako nikupigie hesabu halisi. Ndiyo hiyo kwenye picha?Nikikuambia unijengee self ya room tatu moja master, yenye public toi moja, jiko na dainning kwa pamoja.
Ukubwa wa room ft 9*9
master room ft 10* 12 plus toi
Sebule ya ft 12*12
Daining na jiko ft 9*9
Itapiga kwa bei gani nipo chuga,
Nb. rangi ntakuambia ya kupaka baadae
Naweza kukuchorea ramani pia mkuu Kwa maelezo yako ukiyaweja sahihi.Nikikuambia unijengee self ya room tatu moja master, yenye public toi moja, jiko na dainning kwa pamoja.
Ukubwa wa room ft 9*9
master room ft 10* 12 plus toi
Sebule ya ft 12*12
Daining na jiko ft 9*9
Itapiga kwa bei gani nipo chuga,
Nb. rangi ntakuambia ya kupaka baadae
Nomba nauliMwambie aje ale miguu ya kuku hapa Buguruni
Nipo ikwiririUko wapi nije na usafiri wangu 🤣
Hapana ndo nyumbaniHuko Ikwiriri unalima ufuta au
🤣🤣🤣Sawa nitumie namba ya simu nikifika hapo nikupigie 🤣🤣🤣