Picha: Jumapili ya Leo nikiwa kwenye Ibada

Timua wote mkuu waambie waende Msanga maana wazaramo wanahamia huko ndiyo chimbo lao 🤣🤣
Nilijaribu juma lililopita walinichamba mpaka nikakimbilia Mbeya mbaya nishawatongoza wote na wamenikataa yaani natamani mzee afufuke achukue nyumba zake tu
 
Uza mkuu Piga bei, ukale kitimoto na bia Hela ya urithi 🤣
 
Back
Top Bottom