Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
UpoAhsantee!!
Unampigia Campaign Emma
UpoAhsantee!!
Local Fundi Kama Engineer GabrielKaribu Sana mkuu tuijenge Tanzania yetu
Hiyo ela ya mafuta unayo haribu si ungenitumia nkaja na daladalaTuma usicheke 🤣🤣 nakuja na Noah nyeusi
Ndio ila sio kiviiiiilee😅Wewe mndengereko kumbe 🤣🤣
Hapanaaa!! 😂😂😂😂Upo
Unampigia Campaign Emma
Plasta ndio kigongo kijachoView attachment 3447684 Leo kimeumana ibada inafanyika mpaka usiku wa manane kama wachawi! 🤣🤣🤣
Boss kanunua taa za kutosha tunapiga Plasta mpaka usiku 🤣🤣