Ipi tofauti ya bati la gauge 28 vs 30 ?Kama una kazi ya Ujenzi nicheki nikufanyie kazi Yako +255624254690
Bei ya wazawa, huduma ya watalii
View attachment 3462154
Mkuu tofauti ya bati geji 20 na 30 Iko kwenye unene, uimara na bei.Ipi tofauti ya bati la gauge 28 vs 30 ?
Hizi nyumba za vyumba vinne kuna ubaya kutumia gauge 28 ?Mkuu tofauti ya bati geji 20 na 30 Iko kwenye unene, uimara na bei.
Geji 28 ni nene zaidi kuliko gauge 30.
Uimara gauge 28 ni imara zaidi kuliko gauge 30. Na hata kwenye bei gauge 30 haiingii kwenye miziki ya gauge 28.
Karibu mkuu
Niliona wanasema eti 28 haifai kwa makazi ya kawaida bali inafaa kwenye majengo makubwa kama kanisa.una maana gani mkuu kusema nyumba ya vyumba vinne?
Ikiwa kama una maana ya Nyumba hizi za kuishi, Basi gauge 28 ni sahihi.