Ni vyumba vya ukubwa gani mkuu? Vipi msingi umufungwa mkanda? (Zege) Kama bado unatarajia kufunga.Vyumba viwili unapandisha Kwa shngap msinging tayar upo
Ni umaskini wetu tu unatufanya tuishi maeneo yenye mbanano kama huu.
Uko sahihi mkuu!Ni umaskini wetu tu unatufanya tuishi maeneo yenye mbanano kama huu.
Technically ilibidi huyo mwenye nyumba bati jekundu hapo pembeni ya hii site amiliki kuanzia hapa unapoinua nyumba mpaka kule kwenye nyumba inaoyoonekana kwa mbele but ndiyo hivyo wengi wetu uchumi wa kuunga unga hatuwezi,ila kazi nzuri mkuu imetulia.
Ni umaskini wetu tu unatufanya tuishi maeneo yenye mbanano kama huu.
Technically ilibidi huyo mwenye nyumba bati jekundu hapo pembeni ya hii site amiliki kuanzia hapa unapoinua nyumba mpaka kule kwenye nyumba inaoyoonekana kwa mbele but ndiyo hivyo wengi wetu uchumi wa kuunga unga hatuwezi,ila kazi nzuri mkuu imetulia.
Kazi ni ibadaHabari zenu wakuu!
Kazi pia ni Ibada, Kwa wale wataalamu wa maswala ya Dini watakuwa wanalelewa hili.
Karibuni tufanye Ibada.
+255624254690
View attachment 3429489View attachment 3429490View attachment 3429491View attachment 3429492
Njoo uchukue hela kiwanja mamiloNgoja nidange ninunue kiwanja ntakutafuta
Duh, pole mkuu, hii uje uiandikie uzi kama itakupendeza.Kuna kipindi niliwahi kwenda mbali huko kutafuta uchawi ila kwakuwa nilikuwa mdogo watu wa kule wakaishia kunitishia tu lakini sikufanikiwa.
Nimewahi kwenda msumbiji Kwa miguu pia via kilwa road mpaka ndani kule msumbiji nikarudishwa bongo na watu wa kule kidogo wanichome moto wakisema mimi ni gaidi (Kuna kundi moja la waasi liko kule maarufu Sana wakawa wanasema mimi ni .mmoja wao.
Nilikaa ofisi ya Kijiji na Wana Kijiji wote wa pale walikuja kuniangalia 🤣🤣 yaani ilikuwa kama muvi vile yaani Kijiji chote wamekuja kuniangalia mimi kwamba ni gaidi hatari Sana, ila wakiangalia umri wangu hayo mawazo ni kama yanakosa nguvu.
Basi baada ya kukaa pale Kwa siku kadhaa Wana Kijiji wanashauriana juu yangu ikabidi Kuna wasamalia wema wakanitolosha usiku wa manane.
Njia waliyoniambia nipitie ni porini (bila shaka ni hifadhi ya wanyama ile, maana nilikuwa sitembei zaidi ya lisaa bila kukutana na Hawa swala)
Basi niliambiwa Kuna sehemu nikifika Kuna mto, nikivuka huo mto Niko Tanzania.
Nimefika pale mtoni Sina hata mia ya kuvuka pale, Kuna jamaa alikuwa pale anavusha watu akasema kama Sina hela basi anachagua chochote kwenye kibegi changu chenye thamani halafu ndiyo anivushe.
Nilikuwa na shati mbili Kali Sana na suruali Moja yule mbwa akazichukua.
Kabla nilijaribu kuangalia kama naweza kuvuka Kwa kuogelea, nikaelekea Kwa mbele kidogo kuangalia kama Kuna sehemu naweza kuvuka, nikaona mamba wanaota lile jua la asubuhi, ikabidi niwe mpole
Yapo mengi mkuu nitajaza Seva za Jf.Duh, pole mkuu, hii uje uiandikie uzi kama itakupendeza.
Acha zako mkuu 🤣Namba yako nimeisave ,siku ukiona namba inaishia na kumi jua ni mimi .
Kazi nitakayokupa nikuelekeza kwa wapangaji wangu uwe unaenda unaanza kubomoa ukuta wakati mimi sipo wakikuuliza wambie anasema hamlipo kodi bora abomoe ajue moja kuwa hakuachiwa nyumba ya urithi .
Tegemea kazi mwanzoni mwa huu uzi maana nimechoka kuchambana na wazaramo wenzangu kisa mali yangu ya urithi
Huwezi nielewa ila jua kuna baba mwenye nyumba mmoja kaiona hii komenti katikisa kichwa kwa furaha .Acha zako mkuu 🤣